Hata mnishawishi vipi ladha ya nyama ni tofauti

Hata mnishawishi vipi ladha ya nyama ni tofauti

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,363
Reaction score
1,431
Ukweli wanaume wote wanaujua ila huogopa kuusema ili dada na mama zetu waheshimiwe.

Licha ya usemi utamaliza mabucha nyama ni ileile....lakini kiuhalisia sio kweli. Jamani nyama ya nundu utaifanashaje na nyama ya mkia?

Tuwe serious basi nyama ya paja utaifananishaje ma kidali?

Kiukweli k ya mwenye mswambanda wa maana na kimbau mbau katu haziko sawa.

Nimeandika tu ,sijakushawishi uamini nilichoandika ila wanaume tunaufahamu ukweli huu ndo maana hata kama haujui...every man cheat.
 
tumekaa siku mbili hatujapata jicho, sasa leo tusipopata tutakukula weye au meneja....hahaaaah nilicheka sana kauli hiyo aliambiwa mlinzi sehemu moja mkoa wa kaskaz huko...hawa jamaa waliambiwa ukitaka kupata mwanamke wa usiku mmoja Tz we muulize kama anatoa jicho...sasa mi nikawa nashangaa kwanini wageni wangu mambo hayajipi kumbe kila manzi wakimwita wauliza hiyo kitu, mpaka niliokuja kujua..nilicheka sana
 
mkuu umekumbwa na masahiba gani tena!!!! weka wazi hapa naona umeweka tungo tata sana
 
tumekaa siku mbili hatujapata jicho, sasa leo tusipopata tutakukula weye au meneja....hahaaaah nilicheka sana kauli hiyo aliambiwa mlinzi sehemu moja mkoa wa kaskaz huko...hawa jamaa waliambiwa ukitaka kupata mwanamke wa usiku mmoja Tz we muulize kama anatoa jicho...sasa mi nikawa nashangaa kwanini wageni wangu mambo hayajipi kumbe kila manzi wakimwita wauliza hiyo kitu, mpaka niliokuja kujua..nilicheka sana
Pamoja mkuu
 
Mungu nijaalie nibaki kama nilivyo maana Dunia imepoteza direction
Kitu kipya kipi hapo....amabacho
Wazee wa zamani hawakufanya

Mfalme suleiman aliijua siri hii mapema sana
 
Back
Top Bottom