Ukitaka kujua kama upinzani umechoka ingia hata hapo insta tu kwenye hata page za
Zitto halafu soma comments ndo utajua kuwa wabongo wamejanjaruka yaani inafikia hatua mpaka zitto anafunga upende wa comment ili watu wasimchane.
Asilimia 95℅ ya comment ni kuwapuuza tu