Hata ningesikia serekali tano ningeunga mkono

Hata ningesikia serekali tano ningeunga mkono

makeyzan

Senior Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
176
Reaction score
30


Ndio ni kweli naunga mkono rasimu ya katiba iliyopendekezwana tume ya mabadiliko ya katiba iliyo chini ya zee wetu walioba kwa kupendekeza serikali tatu.Napenda kufanya uchambuzi wangu binafsikwamba kwa nini hata ningesikia rasimu ya katiba ya jamhuri ya muungano waTanzania ingependekeza serekali tanoningeunga mkono.
Hii nikutokana nasababu zifuatazo:-

A. “SURVIVAL OF THE FITTEST”

Kwa wadau wenzangu hili neno sio jipya sana kwani, hili nenolimezalishwa kutoka katika theory ya Charles Darwin's na kuendelea kutumiwa na Mr.Herbert Spencer (1864) Katika biological concept.Lakini pia limeweza kuendelea kutumika katika maswala ya kiuchumi (economiccompetition) katika nchi zilizoendelea na zinazo endelea.

Sasa kwa nini napenda serekali tatu katika concept ya survival of thefittest?
1. Vijana wengi hawana kazi kutokana nahuumfumo mbovu wa serekali mbili ambao unafinya fulsa za kimaendeleo katikataifa letu na hata kama zipo basi ni watu wachache wananufaika.Na ukiangaliawengi wamesoma lakini suala la kazi ni janga, wengi wanapenda biashara lakinisuala la mtaji ni janga. Kwahiyo serekali tatu zikija at most nasisi tutajiajirina tutaajiriwa na tanganyika mana ZANZIBAR NA SERIKALI YA MUUNGANO KUMEJAA.
2. Kwa kuwa na serikali tatu tutaweza kuwa nawigo mpana wa kujitafutia riziki katika serekali ya Tanganyika, ya Zanzibar naserikari ya jamuhuli ya muungano wa tazania. Hivyo uwanja wa fulsa utaongezeka.
3. Wajasiliamali wadogo wadogo ambao wamemezwana wajasiliamali wakubwa watapata fulsa za kuanzisha biashara zao ndani ya huumfumo mpya.

B. “IF LIFE GIVEYOU OPPORTUNITY TO USE PLEASE USE IT WELL”.
Pia ni msemo mwingine ambao kwa ligha yaKiswahili inamanisha “KAMA MAISHA YAKIKUPA FULSA YA KUYATUMIA BASI TAFATHARIYATUMIE VIZURI”. Ikumbukwe ndoto za Tanganyika na Zanzibar kuunguanani kusudio la kujenga nnchi moja yenye nguvi kamili lakini muungano huu wannchi moja umeshindikana na mwishowe tumeona kutokuelewana na mwishotumesababisha vurugu nyingi zilizoishiaumwagaji wa damu. Sasa ikiwa MAISHA yametupa FULSA ya kutengeneza KATIBA nakwa kupendekeza serikali tatu kwa maoni yetu wenyewe BASI tutumie vizuri kwani tukishindwa hatutapata fulsa nyingine yakuwa pamoja kama tulivyokua sasa.

C. “UTHUBUTU NA KUJIAMINI”
Ndio ni moja la tatizo na ugonjwa mkubwaunaoikumba nnchi yetu kwa sasa, kwamba viongozi wetu na wananchi kwa ujumlahatuna uthubutu na kujiamini KATIKA KUJARIBU. Ikiwa kama kuunda serikali moja imeshindikana,kuwa na serekali mbili ya sasa inatuletea matatizo, kuvunja muungano kilammojaajitegemee hatutaki, iwaje TUSISUBUTU NA KUJIAMINI katika kutengenezaserekari tatu kama suluhisho ya matatizo baina ya nnchi hizi mbili yanitanganyika na zanzibar?. MACCUS kutoka nnchi ya jamaika mpigania haki za za maendeleo yabinadamu aliyefariki miaka ya 1960’,s alisemahivi“KUJIAMINI NA KUTHUBUTU KATIKA MWENYEWE UTAKUA UMESHINDA KATIKA MBIO ZAMAFANIKIO YA MAISHA, LAKINI USIPOJIAMINI NA KUTOKUTHUBUTU KATIKA MWENYEWEUTAKUA UMESHINDWA MALA MBILI HATA KABLA YA KUANZA MBIO ZA MAISHA”
NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom