Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Photoshop ya mtoto wa primary.
huyu jamaa mbona hajashika bango lolote??
Hiyo picha imetengenezwa na MATAGAHii picha mme edit kishamba mno.
Uyo jamaa kashika bango dogo, ilo kubwa mmempa ninyi.
Kibaya zaidi msivo na haya, ata dogo aliloshika mmeshindwa kulificha.
Upuuz wa wapi huu[emoji20]
Wanatutisha tusiende uropa labdaHii picha mme edit kishamba mno.
Uyo jamaa kashika bango dogo, ilo kubwa mmempa ninyi.
Kibaya zaidi msivo na haya, ata dogo aliloshika mmeshindwa kulificha.
Upuuz wa wapi huu[emoji20]
Hamna kitu pale, propaganda za kishamba Sana wanaletaWanatutisha tusiende uropa labda