johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hotuba ya Lema imedhihirisha Mwenyekiti Mbowe hana Nia ya kuongoza Chadema Kwa sababu amechoka ila Kuna Watu wamemlazimisha Kwa maslahi ya matumbo yao
Aidha Lema amedhihirisha Chadema ni Chama Cha Vinyonga hujibadili rangi kulingana na Mazingira ya Ulaji
Tatu hotuba ya Lema imeonesha Mbowe ni Mfanyabiashara anaangalia Faida Binafsi kwanza katika jambo lolote
Mtume Petro ndiye pekee alikuwa akihoji na kumchallange Yesu kiasi mitume wengine walimuona kama Mropokaji lakini ndiye Mtume ambaye Yesu aliijenga Kanisa Juu yake
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Lisu
Ahsanteni sana