johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Timu ya Lissu, Heche, Lema, Mahinyila itakuwa nzuri kama watashinda. Tanzania itapata upinzani wa kweli.Na huyu Lema ndiye Katibu Mkuu ajaye... sasa moto utawaka huko ccm.. wapambane kwa hoja hadi watanzania wakipate wanacho kitaka
Kweli tupu ndugu yangu na bandiko lako litimie- AmenTimu ya Lissu, Heche, Lema, Mahinyila itakuwa nzuri kama watashinda. Tanzania itapata upinzani wa kweli.
Watanzania wengi zaidi wataunga mkono Chadema sababu at least wanaonekana wana nia ya dhati kudai katiba mpya, tume huru, kupinga ufisadi.
Una ushahidi wa hiki unachosema hapa?Mtume Petro ndiye pekee alikuwa akihoji na kumchallange Yesu kiasi mitume wengine walimuona kama Mropokaji lakini ndiye Mtume ambaye Yesu aliijenga Kanisa Juu yake
Petro hakuwahi kuropoka kumdhalilisha Mwenyekiti wake Yesu hadharani au huduma yake kama Lisu anayofanyaHotuba ya Lema imedhihirisha Mwenyekiti Mbowe hana Nia ya kuongoza Chadema Kwa sababu amechoka ila Kuna Watu wamemlazimisha Kwa maslahi ya matumbo yao
Aidha Lema amedhihirisha Chadema ni Chama Cha Vinyonga hujibadili rangi kulingana na Mazingira ya Ulaji
Tatu hotuba ya Lema imeonesha Mbowe ni Mfanyabiashara anaangalia Faida Binafsi kwanza katika jambo lolote
Mtume Petro ndiye pekee alikuwa akihoji na kumchallange Yesu kiasi mitume wengine walimuona kama Mropokaji lakini ndiye Mtume ambaye Yesu aliijenga Kanisa Juu yake
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Lisu
Ahsanteni sana
Kwahiyo mtume Petro Lissu ndo anam challenge Yesu Mbowe, inabidi Yesu Mbowe amwachie mtume Lissu petro àjenge kanisa (Chadema)!Hotuba ya Lema imedhihirisha Mwenyekiti Mbowe hana Nia ya kuongoza Chadema Kwa sababu amechoka ila Kuna Watu wamemlazimisha Kwa maslahi ya matumbo yao
Aidha Lema amedhihirisha Chadema ni Chama Cha Vinyonga hujibadili rangi kulingana na Mazingira ya Ulaji
Tatu hotuba ya Lema imeonesha Mbowe ni Mfanyabiashara anaangalia Faida Binafsi kwanza katika jambo lolote
Mtume Petro ndiye pekee alikuwa akihoji na kumchallange Yesu kiasi mitume wengine walimuona kama Mropokaji lakini ndiye Mtume ambaye Yesu aliijenga Kanisa Juu yake
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Lisu
Ahsanteni sana
Muhammad siyo mtume wala nabii,ni kanjanja la allah!Kwahiyo mtume Petro Lissu ndo anam challenge Yesu Mbowe, inabidi Yesu Mbowe amwachie mtume Lissu petro àjenge kanisa (Chadema)!
Sasa nasema hivi, mtume Muhammad (SAW) àmemkataa huyo mkatoliki Petro Lissu anamtambua Yesu Mbowe ndo ajenge kanisa.
Hapa si mahakamani mkuu,wewe kama unapinga ,pinga tu hakuna NomaUna ushahidi wa hiki unachosema hapa?
Hahahaha Yohana Mbatizaji...Hotuba ya Lema imedhihirisha Mwenyekiti Mbowe hana Nia ya kuongoza Chadema Kwa sababu amechoka ila Kuna Watu wamemlazimisha Kwa maslahi ya matumbo yao