Hata Rais hudanganywa: Njama za Ikulu ndizo hizi

"Hakuna Rais au Mfalme mjanja ambaye hataweza kupigwa za uso na wahuni.
Pona pona ya Marais au wafalme inakuwaga pale wanapoteua watu wenye kumjua Mungu, waaminifu kwa Mungu, watu wapenda haki, na wenye ujasiri wa kumshauri sio vile atakavyo mfalme bali vile ilivyosahihi kushauriwa."

"Wito; hata katika maisha ya kawaida tunapofanya teuzi za marafiki, jamaa na hata wenzi wa maisha ni lazima tuzingatie rafiki, jamaa au wenzi wa maisha waliowacha Mungu. Vinginevyo kupigwa kupo nje nje tuu, wahuni ushaambiwa sio watu wazuri"


Bwana Robert,nimenukuu hizo aya mbili hapo juu. Kwa kweli umeitendea haki karama ya uandishi ambayo Mungu amekupa. Endelea kutuletea 'madini' mengine. Hata kama ni marefu tutasoma mpaka tutakapoishia.Asante sana!
 


Nashukuru Sana Mkuu.

Tupo pamoja sana
 
Andiko ni tamu sana, ki ukwel kwangu limekua fupi nilitamani uendelee zaidi.

Hizi ndio nyuzi bora jf ambazo vinapitwa tu.
 
Makala nzuri Sana ila pamoja na wateuliwa ni vyema Rais akawa hata na watu wa mpango kando au hata yeye mwenyewe kujitahidi ku reason sio kila kinachokuja mezani ni kukubali.

Ndio maana kwa sehemu kubwa ni sahihi Rais kuwa na Kinga japo ya kiasi na kuwe na sheria inayoweza kudhibiti maamuzi ya Rais kukwepa hao washauri maslahi.

Mwisho tunawajibu wa kuomba hekima kwa Ma Rais wetu waweze kung'amua mambo mapema ya kuingizwa kibla.
 
Hongera ndugu mleta mada, nimejifinza kwa namna moja ama nyingine.
 



Umenena iliyokweli
 
Hata Rais hudanganywa
Nahisi hii inatuhusu zaidi hapa kwetu bongo!.
Mfano, Rais Sa100 alitutangazia nchi yetu imeshuka uchumi wa kati, Madelu majuzi tu hapa kakanusha kwamba hatujashushwa huo uchumi wa kati...sasa ni eidha Rais alidanganywa au Madelu anadanganya ambapo kimsingi bado ni ile ile tu atakuwa anamdanganya boss wake!.
 

Ni hatari Sana.
Watu wenye ndimi mbili sio wakuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…