johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tuwe Wakweli kinachoendelea Chadema ndio ukomavu wa Demokrasia
Ingekuwa ni wale Mbogamboga ungesikia Lisu ameshakatwa eti alianza kampeni mapema lakini Kamilius akaachwa πππ
Chadema wakimaliza uchaguzi salama na kubaki wamoja watakuwa wameweka Msingi muhimu sana kuelekea Katiba mpya ya JMT
Nawatakia Dominica Njema πΉ