Hata saa 24 hazijapita CHADEMA tayari waanza mbwembwe

Zote Bendera Hizo Kuipamba Tanzania
Tulingoja Kwa Muda Mrefu Sana Sana
 
Hali ilivyo mida hii moja ya tawi la Chadema nchini.
Swali : Je watapata kibali?.
View attachment 2468829
Kuna watu hawakuwa wakiamini kuwa:

"Kauli ya Rais ni SHERIA".

Ilikuwa ngumu kumuelewesha polisi Kwa kumsomea KATIBA wakati Yeye Amesikia AMIRI Jeshi mkuu akisema mikutano STOP.

Tupambanie KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

Mamlaka ya RAIS ni makubwa mno, yapunguzwe.

Aamen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…