Hata Saa Nyingine Hua Nampigia Simu Usiku Wa Manane.

Hata Saa Nyingine Hua Nampigia Simu Usiku Wa Manane.

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu.
tunga sentensi moja ukianza na maneno hayo hapo juu" hata saa nyingine hua nampigia simu mchungaji ili aniombee"
haya endeleeni kutunga sentensi zenye maana iliyo kamili.
 
Wakuu.
tunga sentensi moja ukianza na maneno hayo hapo juu" hata saa nyingine hua nampigia simu mchungaji ili aniombee"
haya endeleeni kutunga sentensi zenye maana iliyo kamili.
Hata saa nyingine hua nampigia simu ili jujiridhisha kama faili lililo kuja kwangu alisaini yeye au nadanganywa
 
Hata saa nyingine anapiga simu usiku akitaka kujua nipo wapi nyumbani bar au Niko na manzi
 
Hata saa zingine huwa nampigia simu usiku wa manane ili kumuamsha tusali Tahajjud.
 
Hata saa nyingine huwa nampiga simu usiku wa manane kujua kama amenitumia ile milioni tano kwenye akaunti yangu ya NMB.
 
Hata saa nyingine hua nampigia simu ili jujiridhisha kama faili lililo kuja kwangu alisaini yeye au nadanganywa
na huo ndio muda mzuri wa kufaham ukweli
 
na huo ndio muda mzuri wa kufaham ukweli
Ndo maana yake coz hakili hua imetulia na hakuna wageni wa kuwapokea na kupiga piga nao picha maana me napenda sana nipige picha na wageni kwa kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom