Hata saa nyingine hua nampigia simu ili jujiridhisha kama faili lililo kuja kwangu alisaini yeye au nadanganywaWakuu.
tunga sentensi moja ukianza na maneno hayo hapo juu" hata saa nyingine hua nampigia simu mchungaji ili aniombee"
haya endeleeni kutunga sentensi zenye maana iliyo kamili.
mkuu nani kawa babu yetuAmekua babu yenu sasa hahahahaaa
umesahau neno usiku wa mananeHata saa nyingine anapiga simu usiku akitaka kujua nipo wapi nyumbani bar au Niko na manzi
na ndio muda mzuri kwa salaHata saa zingine huwa nampigia simu usiku wa manane ili kumuamsha tusali Tahajjud.
na huo ndio muda mzuri wa kufaham ukweliHata saa nyingine hua nampigia simu ili jujiridhisha kama faili lililo kuja kwangu alisaini yeye au nadanganywa
Ndo maana yake coz hakili hua imetulia na hakuna wageni wa kuwapokea na kupiga piga nao picha maana me napenda sana nipige picha na wageni kwa kumbukumbu.na huo ndio muda mzuri wa kufaham ukweli