johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nikiwa British Council nikamuona Shujaa Magafuli anatembea Kwa miguu Kutoka Ikulu na wakaingia CRDB Holland House
Baadaye zikawepo tetesi alienda kuhakiki account Fulani Fulani za Government Ili kujiridhisha
Ndipo baadaye zoezi likahamia kwenye Chama likiongozwa na Dr Bashiru na Wakili Msomi Msando
Natoa tu angalizo kwa vyama vya Upinzani vinavyopokea Ruzuku wawe wanakagua account za Chama mara kwa mara siyo hadi wanapokuja Viongozi wapya
Ahsanteni sana 😄