johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
mbaya zaidi,Nikiwa British Council nikamuona Shujaa Magafuli anatembea Kwa miguu Kutoka Ikulu na wakaingia CRDB Holland House
Baadaye zikawepo tetesi alienda kuhakiki account Fulani Fulani za Government Ili kujiridhisha
Ndipo baadaye zoezi likahamia kwenye Chama likiongozwa na Dr Bashiru na Wakili Msomi Msando
Natoa tu angalizo kwa vyama vya Upinzani vinavyopokea Ruzuku wawe wanakagua account za Chama mara kwa mara siyo hadi wanapokuja Viongozi wapya
Ahsanteni sana π
Hamuwezi kuchanga kuendesha chama. HAMUWEZI!Wala usikonde, tutachanga mpunga hilo halina wasiwasi.
Kwasasa inabidi tuchangie kianzio halafu ndio tufuatilie ada za membership wala sio rocket science βοΈHamuwezi kuchanga kuendesha chama. HAMUWEZI!
Ha ha ha ha ha haNikiwa British Council nikamuona Shujaa Magafuli anatembea Kwa miguu Kutoka Ikulu na wakaingia CRDB Holland House
Baadaye zikawepo tetesi alienda kuhakiki account Fulani Fulani za Government Ili kujiridhisha
Ndipo baadaye zoezi likahamia kwenye Chama likiongozwa na Dr Bashiru na Wakili Msomi Msando
Natoa tu angalizo kwa vyama vya Upinzani vinavyopokea Ruzuku wawe wanakagua account za Chama mara kwa mara siyo hadi wanapokuja Viongozi wapya
Ahsanteni sana π
Kibaka ni yule wa mboga mbogambaya zaidi,
kibaka na tapeli omba omba kuchangiwa pocket money wa chadi, hana mpango mkakakati wowote wa kujitegemea, hana marafiki wenye pesa ispikua mambwenyenye ya magharibi yaliyoahidi kumbackp kiuchumi asijue atumie kuingiza pesa kwenye mfumo π
Tapeli na ombaomba kuchangiwa pesa za pocket money anadai chama eti hakina pesa, ili tu kutia huruma ili achangiwe, dah! Viongozi wengine bana dah πKibaka ni yule wa mboga mboga
Kumbe Msando alikuwa team JPM!!!Nikiwa British Council nikamuona Shujaa Magafuli anatembea Kwa miguu Kutoka Ikulu na wakaingia CRDB Holland House
Baadaye zikawepo tetesi alienda kuhakiki account Fulani Fulani za Government Ili kujiridhisha
Ndipo baadaye zoezi likahamia kwenye Chama likiongozwa na Dr Bashiru na Wakili Msomi Msando
Natoa tu angalizo kwa vyama vya Upinzani vinavyopokea Ruzuku wawe wanakagua account za Chama mara kwa mara siyo hadi wanapokuja Viongozi wapya
Ahsanteni sana π
Wanachama ni zaidi ya mali.Nikiwa British Council nikamuona Shujaa Magafuli anatembea Kwa miguu Kutoka Ikulu na wakaingia CRDB Holland House
Baadaye zikawepo tetesi alienda kuhakiki account Fulani Fulani za Government Ili kujiridhisha
Ndipo baadaye zoezi likahamia kwenye Chama likiongozwa na Dr Bashiru na Wakili Msomi Msando
Natoa tu angalizo kwa vyama vya Upinzani vinavyopokea Ruzuku wawe wanakagua account za Chama mara kwa mara siyo hadi wanapokuja Viongozi wapya
Ahsanteni sana π
Wanachama wenyewe Hawa akina Halima Mdee na Yeriko Nyerere πΌWanachama ni zaidi ya mali.
Wote wenye chuki na uongozi mpya siku zijazo mtazikimbia hizi nyuzi zenu za roho kutu
Ccm inatagemea kuchota fedha hazina, na michango toka kwa wauza unga na wakwepa kodi. Cdm haina mafasi hiyo.Nikiwa British Council nikamuona Shujaa Magafuli anatembea Kwa miguu Kutoka Ikulu na wakaingia CRDB Holland House
Baadaye zikawepo tetesi alienda kuhakiki account Fulani Fulani za Government Ili kujiridhisha
Ndipo baadaye zoezi likahamia kwenye Chama likiongozwa na Dr Bashiru na Wakili Msomi Msando
Natoa tu angalizo kwa vyama vya Upinzani vinavyopokea Ruzuku wawe wanakagua account za Chama mara kwa mara siyo hadi wanapokuja Viongozi wapya
Ahsanteni sana π
Unadhani Mwamba alikuwa anazitoa Wapi? πCcm inatagemea kuchota fedha hazina, na michango toka kwa wauza unga na wakwepa kodi. Cdm haina mafasi hiyo.
Zipi hizo boss.Unadhani Mwamba alikuwa anazitoa Wapi? π
Hawana fedha kwa sababu wao hawaja wahi jimilikisha mali yeyote ile ya umma wala kutumia fedha zozote zile za umma kwa maslahi ya chama chao huo ndio ukweli wa wao kuto kuwa na pesa kabisaNikiwa British Council nikamuona Shujaa Magafuli anatembea Kwa miguu Kutoka Ikulu na wakaingia CRDB Holland House
Baadaye zikawepo tetesi alienda kuhakiki account Fulani Fulani za Government Ili kujiridhisha
Ndipo baadaye zoezi likahamia kwenye Chama likiongozwa na Dr Bashiru na Wakili Msomi Msando
Natoa tu angalizo kwa vyama vya Upinzani vinavyopokea Ruzuku wawe wanakagua account za Chama mara kwa mara siyo hadi wanapokuja Viongozi wapya
Ahsanteni sana π
Tatizo ukilaga matembele dish linasogeaWanachama wenyewe Hawa akina Halima Mdee na Yeriko Nyerere πΌ