Kama ni mpenzi somethin private would be nice...ili ujue kama anaipata style yako!!Kama ni mshkaji tu chocolate tu inafaa!!Au mwambie chochote atakachopendelea kukupa!!!
kyupi....'Hi sweety whats up!!!!!!! wanted to buy you somethin but was afraid if ya wud like it???????...what should i buy you??.............message ndio imesema hivyo,..............nimeshindwa kujua nataka aninunulie nini?.................wadada ni nini mngependa mkaka akununulie.....???wakaka nitawauliza next time!:brick:😛ainkiller:
'Hi sweety whats up!!!!!!! wanted to buy you somethin but was afraid if ya wud like it???????...what should i buy you??.............message ndio imesema hivyo,..............nimeshindwa kujua nataka aninunulie nini?.................wadada ni nini mngependa mkaka akununulie.....???wakaka nitawauliza next time!:brick:😛ainkiller:
Mpaka kuitwa sweety inaonesha hapo ni mahaba,so unaangalia nini unataka na unasema tu wala haina haja ya kufikiria sana ila ukumbuke tu uwezo wa mwenza wako maana vitu vingine vinaweza kuzidi uwezo.'Hi sweety whats up!!!!!!! wanted to buy you somethin but was afraid if ya wud like it???????...what should i buy you??.............message ndio imesema hivyo,..............nimeshindwa kujua nataka aninunulie nini?.................wadada ni nini mngependa mkaka akununulie.....???wakaka nitawauliza next time!:brick:😛ainkiller:
sina ubaguzi Eng.....nimesema nitawauliza next time,...btw...huwa unamnunuliaga nini mywife wako?
We pokea tu lakini uwe tayari kumpa akiomba gemu huko mbeleni si unajua mkono mtupu haulambwi
Ndio nini??tufafanulie....mie nakaa huku mpwapwa!:embarrassed:
Mpaka kuitwa sweety inaonesha hapo ni mahaba,so unaangalia nini unataka na unasema tu wala haina haja ya kufikiria sana ila ukumbuke tu uwezo wa mwenza wako maana vitu vingine vinaweza kuzidi uwezo.
thats so sweet! mwambie some chocolates,a bottle of wine,champagne,ice creams....something that he can also use when around..........it makes his presence sweeter..........or anything you need like a perfume of his choice etc.
Thanks kwa kunipa mawazo lol,...ningependa ice cream ila na hizi foleni zetu mpk afike si itakuwa imeyeyuka yote hahaha:redfaces: