Hata sijui nimjibuje.....................?

ooh, sikujua mpwapwa siku hizi kuna foleni hivyo! loh!

haahahha umeniumbua! wenzako tuna maflai ova huku na bado kuna foleni....karibu mpwapwa dear.:A S-alert1:
 
Pauline kwani wewe unapenda nini mwenzetu?
Chochote anachoweza kuafford like perfume ,Apple ,chocolate zawadi ni zawadi
 
Mara hii umeshapata maana ulikuwa upo kwenye mawindo ....mbona imekuwa mapema sana ..........Tunasubiri yetu hapa nilikuwa napita tu
 
Mara hii umeshapata maana ulikuwa upo kwenye mawindo ....mbona imekuwa mapema sana ..........Tunasubiri yetu hapa nilikuwa napita tu

Bado niko kny mchakato,ulitaka kuwa mgombea nini Zipu?:teeth::hungry::hungry::hungry::redfaces:
 
Mwambie akununulie kitam tam cha mboga
 
Thanks......ningependa zawadi ninayotaja imu-exite na yeye kununua....i mean i sound kimahaba pia,ila ndio nimekosa nimeshindwa kujua nimwambie aninulie nini?............nisaidie plzzzzzz:embarrassed:

CHUPI NA BRA.....Tena pea zaidi ya moja! It will excite him akikuona umezivaa
 
Ndio nini??tufafanulie....mie nakaa huku mpwapwa!:embarrassed:

Thanks kwa kunipa mawazo lol,...ningependa ice cream ila na hizi foleni zetu mpk afike si itakuwa imeyeyuka yote hahaha:redfaces:

Ukiwa muongo usiwe mwepesi wa kusahau, Mpwapwa nako kuna foleni siku hizi? I dought hata kama kuan ICE CREAM.....!
 
atazionaje bana, sio mkewe.

Kakwambai sio mkewe? Mbona meseji inasema sweety? Halafu kama siyo mkewe hiyo ndiyo chance ya kumchakachua sasa, there is no free lunch in this World!
 
kakwambai sio mkewe? Mbona meseji inasema sweety? Halafu kama siyo mkewe hiyo ndiyo chance ya kumchakachua sasa, there is no free lunch in this world!

acha mbwembwe masaki, kuwa sweety haina maana ni mkeo. Mbona unakimbilia kuchakachua?? Angalia usije chakachuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…