Hata TBC1 hawaiamini Taifa Stars?

Hata TBC1 hawaiamini Taifa Stars?

Ndio vizuri. Kifupi tufanye kama hatujui kama wanacheza. Itawasaidia wachezaji kutopata presha za bure za kisiasa kutoka kwa wanasiasa na machawa.
 
Sasa kama TBC wenyewe hawaoneshi uzalendo, Nani mwingine??
 
Back
Top Bottom