Hata TEF inaonekana mliufyata kila mlipoona sura ya Jiwe

Hata TEF inaonekana mliufyata kila mlipoona sura ya Jiwe

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Hayati Magufuli alihudhuria Ibada za Wakatoliki karibu kila Jumapili hadi alipopotea tukaanza kumtafuta. Hakuna cha Padre wala Askofu aliyewahi kusimama mbele yake akamwambia maneno kama aliyoambiwa Rais wetu Samia leo.

Tafakari.
 
Uchaguzi wa TEC wa mara ya mwisho ulikuwa influenced na watu wa TISS. Waliweza kumpenyeza na kisha kumchagu-lisha Askofu Gervas Nyaisonga wa Jimbo la Mbeya kuwa Mwenyekiti wa TEC kwa miaka 5 kuanzia 2018. Eti ilionekana kuwa kanisa liko mbali na Serikali wakati wa Mwenyekiti Tarcissius Ngalelikumtwa wa Iringa hivyo basi wamchague Gervas Nyaisonga kwa vile ana urafiki binafsi na Jiwe.

Hapo ndipo kanisa Katoliki Tanzania lilibakia poyoyo katika mstakabali wa kutetea waumini wao.

KKKT waliruka mtego wa TISS uliotaka kumtoa Dr Shoo
 
Hakukuwa na haja ya kubishana na jiwe kwa vile siku zilibaki chache
 
Uchaguzi wa TEC wa mara ya mwisho ulikuwa influenced na watu wa TISS. Waliweza kumpenyeza na kisha kumchagu-lisha Askofu Gervas Nyaisonga wa Jimbo la Mbeya kuwa Mwenyekiti wa TEC kwa miaka 5 kuanzia 2018. Eti ilionekana kuwa kanisa liko mbali na Serikali wakati wa Mwenyekiti Tarcissius Ngalelikumtwa wa Iringa hivyo basi wamchague Gervas Nyaisonga kwa vile ana urafiki binafsi na Jiwe.

Hapo ndipo kanisa Katoliki Tanzania lilibakia poyoyo katika mstakabali wa kutetea waumini wao.

KKKT waliruka mtego wa TISS uliotaka kumtoa Dr Shoo
shida ya mwendazake alikuwa anatafuta total control ya kila kitu nchini, imagine mpaka taasisi ya kikatoliki alitaka iongozwe na pandikizi lake.

bakwata ndio sitaki kusema, nasikia mufti mkuu licha ya kwamba alikuwa ni swahiba wake, pia alikuwa mtaalamu wake binafsi wa masuala ya ulozi.
 
Hawa watu pumbavu kabisa, jamaa alikuwa akikohoa hata madhabahuni wote kimya...eti leo wanajiita viongozi wa dini, wangeweza kweli kuulinda ukristo mbele ya kaisari hawa?....
 
Back
Top Bottom