Uchaguzi wa TEC wa mara ya mwisho ulikuwa influenced na watu wa TISS. Waliweza kumpenyeza na kisha kumchagu-lisha Askofu Gervas Nyaisonga wa Jimbo la Mbeya kuwa Mwenyekiti wa TEC kwa miaka 5 kuanzia 2018. Eti ilionekana kuwa kanisa liko mbali na Serikali wakati wa Mwenyekiti Tarcissius Ngalelikumtwa wa Iringa hivyo basi wamchague Gervas Nyaisonga kwa vile ana urafiki binafsi na Jiwe.
Hapo ndipo kanisa Katoliki Tanzania lilibakia poyoyo katika mstakabali wa kutetea waumini wao.
KKKT waliruka mtego wa TISS uliotaka kumtoa Dr Shoo