Hata TTCL wamepandisha bei ya vifurushi

Hata TTCL wamepandisha bei ya vifurushi

BROTHER OF BROTHERS

Senior Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
113
Reaction score
159
Nimeshangazwa Sana na hizi Gharama za BANDO la internet kutoka kwenye kampuni ya wazawa (TTCL) ambao nilihisi wapo upande wa Wananchi lakini matokeo yake kifurushi Cha 1.5GB Kwa Tsh 2000/-bkwa Wiki kimekuwa Cha 950 MB Kwa Ile ile 2,000/-

Ndugu yangu kunahaja yakuhamia SAFARI COM.
 
Attachments

  • Screenshot_2022-08-22-07-52-39-03.jpg
    Screenshot_2022-08-22-07-52-39-03.jpg
    35.7 KB · Views: 18
Nimeshangazwa Sana na hizi Gharama za BANDO la internet kutoka kwenye kampuni ya wazawa (TTCL) ambao nilihisi wapo upande wa Wananchi lakini matokeo yake kifurushi Cha 1.5GB Kwa Tsh 2000/-bkwa Wiki kimekuwa Cha 950 MB Kwa Ile ile 2,000/- Ndugu yangu kunahaja yakuhamia SAFARI COM.
Hakika wameua. Mimi nilikuwa halotel, walipopandisha gharama nikambilia ttcl. Sasa sijajua nikimbilie wapi?
 
Nimeshangazwa Sana na hizi Gharama za BANDO la internet kutoka kwenye kampuni ya wazawa (TTCL) ambao nilihisi wapo upande wa Wananchi lakini matokeo yake kifurushi Cha 1.5GB Kwa Tsh 2000/-kwa Wiki kimekuwa Cha 900MB Kwa Ile ile 2,000/-

Ndugu yangu kunahaja yakuhamia SAFARI COM.
 
Zantel kifurush Cha bara Cha 2000 NI gb 1.1

Tigo nahisi ni 1 gb
 
Kuna afadhali Kidogo sema Sasa utamiliki line ngapi? 🙄🙄. R.I.P Father John .....Mkuu Hali ya kipato mtaani ni kugumu Sana.
 
Mwisho wa siku internet itakuja kuwa sio jambo la lazima bali la wenye kipato
 
Hakika wameua. Mimi nilikuwa halotel, walipopandisha gharama nikambilia ttcl. Sasa sijajua nikimbilie wapi?
Ndio kama mimi 1500 kwenye bufee nilikuwa napata GB 1 ttcl now ni mb.kama 500 hivi

Bora nirudi halotel nipate mb 750 dk za kutosha kwa 1500
 
Nimeshangazwa Sana na hizi Gharama za BANDO la internet kutoka kwenye kampuni ya wazawa (TTCL) ambao nilihisi wapo upande wa Wananchi lakini matokeo yake kifurushi Cha 1.5GB Kwa Tsh 2000/-kwa Wiki kimekuwa Cha 900MB Kwa Ile ile 2,000/-

Ndugu yangu kunahaja yakuhamia SAFARI COM.
Hamia VPN wewe.
Acha unaaa.
Nipe elfu 5 nikuelekeze buree kutumia
Kindly inbox me
 
[emoji1][emoji1] Wengine tumeishia kuzipata VPN zenye maximum ya 600MB tu a day.
Unatumia VPN Gani?

Nayotumia Mimi n free unlimited.
Kasi inaanza usiku saa 2 Hadi majogo
Mchana normal speed.

Speed kubwa unalipia elfu 20 per month.
 
Back
Top Bottom