BROTHER OF BROTHERS
Senior Member
- Jun 30, 2013
- 113
- 159
Hakika wameua. Mimi nilikuwa halotel, walipopandisha gharama nikambilia ttcl. Sasa sijajua nikimbilie wapi?Nimeshangazwa Sana na hizi Gharama za BANDO la internet kutoka kwenye kampuni ya wazawa (TTCL) ambao nilihisi wapo upande wa Wananchi lakini matokeo yake kifurushi Cha 1.5GB Kwa Tsh 2000/-bkwa Wiki kimekuwa Cha 950 MB Kwa Ile ile 2,000/- Ndugu yangu kunahaja yakuhamia SAFARI COM.
Kimbilia polisiHakika wameua. Mimi nilikuwa halotel, walipopandisha gharama nikambilia ttcl. Sasa sijajua nikimbilie wapi?
Ndio kama mimi 1500 kwenye bufee nilikuwa napata GB 1 ttcl now ni mb.kama 500 hiviHakika wameua. Mimi nilikuwa halotel, walipopandisha gharama nikambilia ttcl. Sasa sijajua nikimbilie wapi?
And here is where the problem lies !!!!Watanzania hata waanze kunyonywa damu na serikali wataishia kulalamika tu.
Kwangu mwendo wa VPN tuNgoja nitafute VPN niteleze bure
Hamia VPN wewe.Nimeshangazwa Sana na hizi Gharama za BANDO la internet kutoka kwenye kampuni ya wazawa (TTCL) ambao nilihisi wapo upande wa Wananchi lakini matokeo yake kifurushi Cha 1.5GB Kwa Tsh 2000/-kwa Wiki kimekuwa Cha 900MB Kwa Ile ile 2,000/-
Ndugu yangu kunahaja yakuhamia SAFARI COM.
ππ Wengine tumeishia kuzipata VPN zenye maximum ya 600MB tu a day.Kwangu mwendo wa VPN tu
Tena free na natungua mizigo ya maana 4K
Unatumia VPN Gani?[emoji1][emoji1] Wengine tumeishia kuzipata VPN zenye maximum ya 600MB tu a day.