hata ufanyeje!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kama alikuwa na gari nimeingia kwenye ndoa kwasababu ya hilo gari nikagundua si lake,kwa kweli hakitaeleweka. Ndoa inakuwepo kutokana na misingi na matarajio fulani fulani, misingi ya kuwepo kwake ispokuwa sahihi hata misingi ya kuvunjika kwake itakuwa vivyo hivyo...Hakuna sababu ya kusema uongo,mtu akupende ulivyo na kwa ulicho nacho....kwanini umdanganye una gari wakati we fundi gereji tu??
 
Kwasababu wanaamini hiyo ndio njia pekee ya kumpata mwanamke dearest. Wenyewe hua wanasema "tunapenda kudanganywa" alafu wakija kugeukwa baadae wanashangaa.
 
Ulishagundua wangapi waliokufanyia hivyo,hasa wenye magari kumbe ni lala Mama home? And you discovered it not less than a year in relationship and you did and enjoyed each and everything except wedding.
 
Kwasababu wanaamini hiyo ndio njia pekee ya kumpata mwanamke dearest. Wenyewe hua wanasema "tunapenda kudanganywa" alafu wakija kugeukwa baadae wanashangaa.

dawa yao ni kuwalipa kutokana na matendo yao halafu kama uwezekano upo unachapa mwendo....ambu fikiria, wewe umempenda huyo mtu kutokana na yeye kuja kukuchukua nyumbani kila siku unaepukana na adha za daladala, kufika ndani kaonyesha ukweli wake kuwa gari si lake.....hapo unafanyeje,its either anunue lake au akusahau...lol...chezea material girls...eeh,they mean business!
 
Ulishagundua wangapi waliokufanyia hivyo,hasa wenye magari kumbe ni lala Mama home? And you discovered it not less than a year in relationship and you did and enjoyed each and everything except wedding.

Sijawahi kumpendea mwanaume gari au mali zake....nampenda kwasababu nyingine kabisaaa...so hili bado sijakutana nalo.....!
 
ahhhhh mambo ya ndoa yako complicated sana bana..... Bora niangalia Mr.Bean kuondoa mawazo.
 
Michelle,

U r very right kwenye swala la gari hapo ambalo ni kama mfano. Ndio maana marekani ukiwa celebrity wife alishazoea kwenye Paris shopping kwa mwezi mara mbili ukim divorce lazima ulipe hizo gharama ili amentain maisha yake.
 
Asante kwa ufafanuzi huu Maundumula, inaboa sana umeolewa na objective zako,unafika ndani unagundua ulidanganywa, ni ngumu sana....!!
 
Asante kwa ufafanuzi huu Maundumula, inaboa sana umeolewa na objective zako,unafika ndani unagundua ulidanganywa, ni ngumu sana....!!

Michelle ,

Umenikumbusha wimbo wa long time wa kalubandika aliyejisifia yeye mkurugenzi wa kampuni kumbe pakulala hana anakesha kwenye stendi. Kama alishajidai ana gari ili aoe hapo demu akisepa no lawama unless kama jamaa alifilisika on the way kwa bahati mbaya hapo itaelelweka.
 
some time uongo unasaidia sana hasa katika swala zima la mahusiano.
 
some time uongo unasaidia sana hasa katika swala zima la mahusiano.

Watu wenye mapungufu yasiyobebeka ndio wanahotaji na kutegemea uongo kuanzisha na.kuendeleza mahusiano. Siutafute saizi yako tu?
 
Lolz. . .
Kweli kabisa dearest. Mtu anajipanga hatokula tena maharage, kazi atafanya dada wa kazi, kula itakua out, hamna kupanda daladala , baadae hayo yote yakiwa ndivyo sivyo lazima akayatafute kwingine. Ya nini matatizo!!
 
ww hujafundwa eeee?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…