MANYORI Jr
JF-Expert Member
- Mar 25, 2012
- 462
- 343
Nenepesha maada yako kidogo tukuelewe
Nani tena.....!!?
Mwandishi au Muhusika....!!?
Muhusika ndo kwanza kavuta blanket...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, Umejitahidi sana kutumia kitu kiitwacho Rhitoric ili ku sort out exaggration[emoji1][emoji1][emoji1]Unahaha kuoga,kutupia pamba,manukato na vidani lakini wewe ni mchafu wa mawazo na tabia.
Hata kama utaita malaika bado hawatakusaidia.
Mjini huendi.
Sent using Jamii Forums mobile app