Hata usipooa au kuolewa hutakufa………!

Darling Morio,you are a rare breed!
 
living single again after being in relation is better than having smone who'l frustrate u! Watu wanaweza kufikiria vibaya ila its better to live ur lyf!
 
I admired u girl!
 
Kama umeoa/olewa halafu mkeo/mumeo akafa, baada ya wiki ndio ukapata hiyo ajali au ukaparalyse je utafanyaje? Acha fikra mgando wewe

hayo yatakuwa ni mapenzi ya Mungu tena
 
living single again after being in relation is better than having smone who'l frustrate u! Watu wanaweza kufikiria vibaya ila its better to live ur lyf!
you only live once ndugu yangu,ya nini uteseke kisa eti walimwengu watakuonaje?kha,i live my life the way i see fit na sio wanavyotaka walimwengu niishe.
 
upweke mbaya. Labda kama upweke huu una maagano maalum kama wa mapadre. Vinginevyo upweke mbaya sana
 
upweke mbaya. Labda kama upweke huu una maagano maalum kama wa mapadre. Vinginevyo upweke mbaya sana
kujiona mpweke au sio mpweke mi naona ni attitude of mind.Mathalan unaishi na mwenza lakini mawasiliano zero(which is often) hiyo nayo ni form ya upweke.Mi naona amani ni muhimu kuliko kuogopa upweke,i would rather be mpweke in peace kuliko kuzungukwa na mtu/watu wanaonikera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…