Hata utende mema 100, kosa moja litafuta mazuri yote

Hata utende mema 100, kosa moja litafuta mazuri yote

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Siku zote unaweza kutenda mema 100 lakini wapo wanadamu ambao watasubiri utende kosa moja tu ili kufuta mazuri yote ambayo umewahi kutenda katika maisha.

Mwanangu usikate tamaa, wewe ni mwanadamu huwezi kutenda yote, na huwezi kufanya yote yakawa sahii.

By Donald Trump
 
Kuna jamaa alikua anatembea na msemo "huwezi kumfurahisha kila mwanadamu" enzi hizo yupo chalala kachoka kachakaa alipozipata sasa kabadiri msemo sasa anasema "sisi ndio wale tunaosaidiwa na Mungu"

Mwisho wa kunukuu
 
Siku zote unaweza kutenda mema 100 lakini wapo wanadamu ambao watasubiri utende kosa moja tu ili kufuta mazuri yote ambayo umewahi kutenda katika maisha.

Mwanangu usikate tamaa, wewe ni mwanadamu huwezi kutenda yote, na huwezi kufanya yote yakawa sahii.

By Donald trump
Hilo moja should not be intentional kama lile lijitu lililompotexza Be, Azory na wengine, kuwafilisi watu, kuwafunga kwa uonevu hata kama lilitenda mema (kama yapo) ushenzi wa kuua unafuta takataka zote.

Nyerere alitenda mema, lakini kuna mahali alikosea kwa na njema akidhani anawapleka watu wake kwenye neema kumbe anwapa shida. Huyo anasamehewa
 
Back
Top Bottom