uko sahihi, angalia bangkokView attachment 2880787View attachment 2880788View attachment 2880789View attachment 2880790
Africa kuna matatizo. Tena makubwa. Uchumi wa Vietnam ni mkubwa kuliko wa taifa lolote Africa. Wa Vietnam walikuwa kwenye Vita wee miaka ya sitini na sabini lakini sasahivi uchumi wao umepaa.
Africa tujitafakali. Angalia jiji la Hanoi, hakuna jiji kama hilo Africa. Hakuna cha Cairo, Lagos, Kinshasa, Johannesburg, Cape Town, Luanda, Nairobi, yote takataka
Jiji la HANOI linatisha. Kweli Asia wameamua
Hapo kwenye taka ni hatari, unakaa na taka hujui uzipeleke wapi!Angalia tu Tanesco Haina mshindani lakini bado inafail, inaona kutupa umeme wa uhakika 24*7*365 ni anasa kwetu utafikiri tunapewa bure na wao hawaingizi kitu.
Angalia ttcl soko lililowashinda wezao wamekufa na kupiga bingo vibaya.
Angalia dawasco maji safi na taka yanavyo vuja ovyo utafikiri hawapotezi pesa.
Angalia mifumo yetu ya kukusanya taka, kaa na taka zako mwezi mzima uzalishe panya, mende na magonjwa mengine utafikiri Taki si Mali.
Shidah tupu.