Wana JF,hebu tuzungumze kuhusu habar hii ya katiba,maoni yaliyotolewa na Viongozi wa umoja wa kikristo Tanzania,tupigie kura ya Hapana katiba,mimi naunga mkono Je wewe?
wana jf,hebu tuzungumze kuhusu habar hii ya katiba,maoni yaliyotolewa na viongozi wa umoja wa kikristo tanzania,tupigie kura ya hapana katiba,mimi naunga mkono je wewe?
tanzania ni nchi isiyo na dini, sasa wao badala ya kuwashawishi waumini wao wasitende dhambi wasije wakamkosea muumba wao, wao wanawashawishi wasiipigie kura katiba inayopendekezwa, hivi hao ni viongozi wa dini au wanasiasa? Duh