Hata wa "Mbagala" twastahili kupendwa!

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
472
Reaction score
64


Nimevumilia nimeshindwa maana mimi nili doubt alipotoa nenda kamwambie nikasema huyu ndio zile za kina z anto na mb doggy lakini niliposikia Mbagala Nikasema Mungu wangu...
maana ile Lafudhi .. mle ndani na video na mpangilio wake hivi nani hasa Producer Wake Jamani ??
wenye Awards jamani Dogo huyu ana deserve kabisaa...no more comment am out words...
 
ikoje hii...una link utudondoshee?
 
mie ndo naisikia hapa JF ngoja niifanyie utafikti
 
Wakongwe wa Bongo Flava wanakazi kweli kweli ...Kuna kina Linah binti sauti imesimama kinoma, Barnabas naye moto.
 
Watoto wameamua ujasiriamali kiukweli kweli! Wanatupa burudani ya kutosha
 
Unapenda nyimbvo zake au wampenda yeye personally?....Be frank, kuna watu wanashindwa kutofautisha hizi maneno mbili!
 
Huyu asipo jiingiza kwa wale jamaa wa Clouds awe kivyake na atafute manager mzuri atatoka kwenye game.
Wale jamaa wakimdaka tu hehehehe ataishia kubadili pamba na laizoni tu kisha kwisha kazi.
 
Watoto wameamua ujasiriamali kiukweli kweli! Wanatupa burudani ya kutosha

Watafanyaje wakati ajira milioni moja za JK zimeota mbawa...itakua kama DR Congo kila mtu muimbaji maana uongozi na ajira wanarisishana tu.
 
kijana kajitahidi ........na video nimependa inaonyesha hali halisi ya mbagala 😀
 
video yake nzuri tatizo mda mwingi katumia akiwa jalalani
 
Acha copy & paste
 

EE bwana umenena. Ngoma nimeipenda. Kama atajitokeza mdau aniwekee niu-download niwe nao ntafurahi vya kutosha.
 
Busara na upole na hekima niliyorithi kutoka kwa mama yangu mama, vyote hukuvijali ukaona silingani kabisa kuwa na wewe,makuti na mkole ukakata kabisa na shina la penzi langu nanana.. eti kisa mali ukaona bora uniache mimi na uolewe,ile siku Shekhe namuona anachoma ubani unavishwa pete unakuwa mke wa fulani NILIUMIA SANAAAA..............
 
wow! hii track imenifanya nitoke machozi, nimemwonea huruma sana. ila siku hizi vijana wengi wanakuwa victims wa mapenzi. tatizo mabinti wanajali sana pesa kuliko utu.
sasa na wewe (sijui nani) binti kama huyo ulitaka ukakae naye huko mbagala? no wonder amekukimbia!
 
Unapenda nyimbvo zake au wampenda yeye personally?....Be frank, kuna watu wanashindwa kutofautisha hizi maneno mbili!

Mkuu si useme tu kuna wakina dada wanapenda viimbaji vidogo vya kiume ? wacha kuzunguka kaka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…