Pre GE2025 Hata Wakoloni walisema TANU wakipewa Nchi hawataweza kuongoza Lakini walipopewa Waliweza, vivyo hivyo siyo sahihi kuwadharau Chadema!

Pre GE2025 Hata Wakoloni walisema TANU wakipewa Nchi hawataweza kuongoza Lakini walipopewa Waliweza, vivyo hivyo siyo sahihi kuwadharau Chadema!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna dhana kwamba Chadema wakipewa Uongozi wa Nchi na wananchi hawataweza kuongoza

Mimi Nadhani Chama chochote cha siasa hata kile TLP au CHAUMMA vina uwezo wa kuunda serikali muhimu ni Ilani tu

Ahsanteni sana
 
Hakuna aliyewadharau mkuu,ni muda tu bado....
Kwani Kuna mtu alijua kuwa yule jiwe aliyekataliwa na waasi atakuwa jiwe kuu pamoja na kumbongonyoa viungo vyake😊
 
Hivi wewe mzee huwa unasoma unachokuwa umekiandika? Huwa unafikiria kabla ya kuandika? Hivi kwa akili yako timamu na mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua unaweza anauza vipi kuwafikiria CHADEMA kuongoza Nchi? Yaani wao wenyewe wanashindwa kujiongoza,sasa ni vipi mtu mwenye akili Timamu uwape uongozi wa Nchi? Au unafikiria kuongoza Nchi ni sawa na kuongoza maongezi na mazungumzo ya kikao cha walevi kilabuni?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ni mentality mbovu na propaganda za CCM kujitapa kwa wananchi kuwa wao ndio wanaweza kuongoza nchi na wapinzani hawawezi. Hawawezi kivipi wakati mifumo ya kuongoza nchi ipo?
 
Hivi wewe mzee huwa unasoma unachokuwa umekiandika? Huwa unafikiria kabla ya kuandika? Hivi kwa akili yako timamu na mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua unaweza anauza vipi kuwafikiria CHADEMA kuongoza Nchi? Yaani wao wenyewe wanashindwa kujiongoza,sasa ni vipi mtu mwenye akili Timamu uwape uongozi wa Nchi? Au unafikiria kuongoza Nchi ni sawa na kuongoza maongezi na mazungumzo ya kikao cha walevi kilabuni?
Ccm ambao wanawekeana sumu vikaoni!?
 
Back
Top Bottom