Hivi wewe mzee huwa unasoma unachokuwa umekiandika? Huwa unafikiria kabla ya kuandika? Hivi kwa akili yako timamu na mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua unaweza anauza vipi kuwafikiria CHADEMA kuongoza Nchi? Yaani wao wenyewe wanashindwa kujiongoza,sasa ni vipi mtu mwenye akili Timamu uwape uongozi wa Nchi? Au unafikiria kuongoza Nchi ni sawa na kuongoza maongezi na mazungumzo ya kikao cha walevi kilabuni?