pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Kama unamaanisha dar basi bado sana hasa maeneo ya misheni kota kariakookweli mji umependeza unapita sehemu kwa amani sana
Wamepangwa kwenye road za mitaani huku main road wamefurushwaKama unamaanisha dar basi bado sana hasa maeneo ya misheni kota kariakoo
Ni shida za malori na usafirishaji mizigo kati kati ya barabara hadi wapita kwa miguu wanapita kwa shida sana achilia mbali magari madogo na pjkipiki,
Yaani hii ni laana ya wamachinga
Kwani kwa kweli kwa jinsi hali ilivyo na kuondolewa kwao ni kuoneana tu
Malori ni shida kariakoo
Hii ni dalili ya mfumo uliofeliKama unamaanisha dar basi bado sana hasa maeneo ya misheni kota kariakoo
Ni shida za malori na usafirishaji mizigo kati kati ya barabara hadi wapita kwa miguu wanapita kwa shida sana achilia mbali magari madogo na pjkipiki,
Yaani hii ni laana ya wamachinga
Kwani kwa kweli kwa jinsi hali ilivyo na kuondolewa kwao ni kuoneana tu
Malori ni shida kariakoo
Ndio hicho nachosema huko ni kwa wakubwa nyumba moja wanaishi labda watu wanne wakizidi sana watano na wameondoa wamachinga ili waheme vizuri ila huku nyumba watu wanaishi watu 15 mpaka 40 kwenye nyumba moja na bado wanaongezewa vurugu la malori na wamachinga kweli usawa haupoWamepangwa kwenye road za mitaani huku main road wamefurushwa