Hata wanaotengeneza hizo boda boda hawafanyi kama ajira

Hata wanaotengeneza hizo boda boda hawafanyi kama ajira

Quaty

Member
Joined
Oct 12, 2022
Posts
46
Reaction score
146
Bongo nyoso, yaani hili swala nyuma yake kuna vigogo wanaouza hizo boda boda ndio maana wanakingia kifua kulinda biashara zao. Boda boda ina risk kubwa sana. Serikari isikwepe jambo hapa. Hakuna ajira hapa
 
Lete Maneno.........
Akili Za Kuambiwa Changanya Na.......
JK Hachomoi......Kwani Nimechomeka Wapi......
 
Back
Top Bottom