Q Quaty Member Joined Oct 12, 2022 Posts 46 Reaction score 146 Mar 6, 2023 #1 Bongo nyoso, yaani hili swala nyuma yake kuna vigogo wanaouza hizo boda boda ndio maana wanakingia kifua kulinda biashara zao. Boda boda ina risk kubwa sana. Serikari isikwepe jambo hapa. Hakuna ajira hapa
Bongo nyoso, yaani hili swala nyuma yake kuna vigogo wanaouza hizo boda boda ndio maana wanakingia kifua kulinda biashara zao. Boda boda ina risk kubwa sana. Serikari isikwepe jambo hapa. Hakuna ajira hapa
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Mar 6, 2023 #2 Lete Maneno......... Akili Za Kuambiwa Changanya Na....... JK Hachomoi......Kwani Nimechomeka Wapi......
Lete Maneno......... Akili Za Kuambiwa Changanya Na....... JK Hachomoi......Kwani Nimechomeka Wapi......