Wanajf kuna dada mmoja ananishangaza sana. Ana miaka kama 25 hivi, kaolewa juzi juzi tu(kama miezi 10). Tatizo hataki kabisaaaaa kuitwa Mrs. Yaani mpaka job kwake ameandikisha Miss. Je hii ina maana gani? Mumewe anajua? Ukimuuliza anasema ooh! security! Au yuko kifisadi?
Mumewe hajui!! Amesema mwenyewe! Halafu pia kusema hayanihusu utakuwa umeconclude kuwa hayatuhusu ofisi nzima, na Taifa lote kiujumla. Huyu bibie kaolewa, na mke kwa kiingereza kwenye title ni MRS!!Sasa tutajuaje kama mumewe anajua we mkimbizi?..labda ameandika Ms.XXX badala ya Miss. XXX hivyo haina neno..
Kwanza ukute amekubaliana na mumewe hivyo hayakuhusu au kama vipi muulize siyo kumfuatilia kisa title ya Mrs..lol
Hajazoea miaka ikikatika atakuwa anajitambulisha mwenyewe!!Wanajf kuna dada mmoja ananishangaza sana. Ana miaka kama 25 hivi, kaolewa juzi juzi tu(kama miezi 10). Tatizo hataki kabisaaaaa kuitwa Mrs. Yaani mpaka job kwake ameandikisha Miss. Je hii ina maana gani? Mumewe anajua? Ukimuuliza anasema ooh! security! Au yuko kifisadi?
Mumewe hajui!! Amesema mwenyewe! Halafu pia kusema hayanihusu utakuwa umeconclude kuwa hayatuhusu ofisi nzima, na Taifa lote kiujumla. Huyu bibie kaolewa, na mke kwa kiingereza kwenye title ni MRS!!
Mwenye ufahamu anaweza kunijuza
Wanajf kuna dada mmoja ananishangaza sana. Ana miaka kama 25 hivi, kaolewa juzi juzi tu(kama miezi 10). Tatizo hataki kabisaaaaa kuitwa Mrs. Yaani mpaka job kwake ameandikisha Miss. Je hii ina maana gani? Mumewe anajua? Ukimuuliza anasema ooh! security! Au yuko kifisadi?
Wanajf kuna dada mmoja ananishangaza sana. Ana miaka kama 25 hivi, kaolewa juzi juzi tu(kama miezi 10). Tatizo hataki kabisaaaaa kuitwa Mrs. Yaani mpaka job kwake ameandikisha Miss. Je hii ina maana gani? Mumewe anajua? Ukimuuliza anasema ooh! security! Au yuko kifisadi?
Mkimbizi mengi yanawezakusababisha hili kwa sababu umless hiyo kazi ameipata baada ya kuolewa but kama aliipata akiwa bado Miss nadhani mpe muda atafuata taratibu. But kama anatumia Ms hakuna tatizo kwani inatumika kwa wote Miss na Mrs.
Hata hivyo kwani pete za ndoa havai?? na jina je anatumia la mumewe au la kwake? Nimeuliza hayo kwa kuwa kuna implication na taratibu za kufuata si kujibadilishia tu............ na kama alikuwa anaitwa Miss. Ngalatumbwe Ngulukwilikwi na ameolewa hawezi tu kuongezea Mrs mbele kwani itakuwa na maana tofauti.
Kwangu mimi, kama anajiita miss/ms/mrs haimaanishi sana kama anachukua responsibility za familia na yeye kujiona kaolewa na mke wa mtu. Haitakuwa na maana kama utavaa tshirt imeandikwa 'I'm married' halafu tuendelee kugongana guest house.
Anajiheshimu kama mke wa mtu? Au bado anavitabia vya kudate na wengine? Halafu, kwani havai pete ya ndoa ambayo ndo sign tosha ya MRS?
Basi acha umbea....as long as anabehave kama mke wa mtu acha kumfutilia mara sijui anajiita misi mara sijui misiz maana hayo hayakuhusu.Ila kama anabehave vibaya hapo sasa unaweza sema unataka kumrekebisha!Amepata kazi akiwa amekwisha olewa. Hatumii hata jina la mumewe lakini anavaa pete...
Hana tabia hizo. Ila ni kwanini ajiite hivyo? Je inakubalika? That is my worry
Basi acha umbea....as long as anabehave kama mke wa mtu acha kumfutilia mara sijui anajiita misi mara sijui misiz maana hayo hayakuhusu.Ila kama anabehave vibaya hapo sasa unaweza sema unataka kumrekebisha!