Nina swali kwako mtoa mada
Kwa mtizamo wako huyo dada hataki kuitwa Mrs kwasababu hataki kuonyesha kwamba ameolewa? na hapo ofcn kwenu wale walioolewa mmezoea kuwaita mf Mrs Kingi nikiwa na mana ya majina ya waume zao au jina la mtu binasfi?
Mana majina yote yanaweza kutumiwa kutokana na mtu anapenda kuitwa vipi. Ila ikiwa kwenye swala la kuandika unaweza kuandika Ms (hapa ukiwa bado unatumia jina lako hata kama umeolewa) na Mrs ukiwa unatumia jina la ukoo wa mume wako. So inategemea tu hakuna ubaya. Ninyi hapo ofcn mfundisheni jinsi ya kutumia majina kama anataka kutumia la kwake aandike Ms fulani na kama anataka kutumia jina la ukoo wa mumewe aandike Mrs fulani. Ni elimu tu hapo.