Hataki kunisamehe.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Ndugu zangu,usiku huu wa manane nimekosa usingizi kabisa cuz of ths lady who is seriously driving me craizy,nakiri ni kweli nilimkosea,nikajutia kosa langu bt suprisingly,she is stil mad to me,tena leo ndo imekua mbaya zaidi bcuz she is neither responding to my colz nor replyn my txts,kuna muda nlikua facbuk nkamuona nae yuko online,nkamtext bt response was zero,mwenzenu niko kwenye hali mbaya,cjala k2 toka asubuh,nikishka madesa yangu ndo hayapandi kabisa.naomben mnishauri nifanyaje mwenzenu.
 
umembip ye kakupigia,jifunze kutoingia kichwa kichwa ktk mapenzi utabaunsi,shauri yako ,angalia Tv,soma gazeti utaupata tu usingizi. Nalog off
 
girls wapo wengi sana....kuna brand new na ukitongoza hawazingui,usiumize kichwa
 
Nachoweza kukushauri ni endelea kumuomba msamaha mwambie ni jinsi gani unampenda na unamuhitaji yaani uwe ni wimbo wake asubuhi mchana na jioni kama anakupenda atarudi tu ucwe na shaka
 
aisee hii mambo ya kutikisa kiberiti ni noma,juzi kati nilimtibua mamaa hivyo hivyo ikawa siku mbaya kinoma.mtafute face to face uombe msamaha
 
nilimtikisia kiberit,kumbe mwenzangu kachukulia seriouz.

Senetor
This is funny.......................Ila pole sana, just apologize and beg if neccessary!!!
 
Nachoweza kukushauri ni endelea kumuomba msamaha mwambie ni jinsi gani unampenda na unamuhitaji yaani uwe ni wimbo wake asubuhi mchana na jioni kama anakupenda atarudi tu ucwe na shaka

jaribu kumpa mda wa kuwaza mkuu,usiapologise sana,mpe mda na yeye atulize mawazo.
Mix these two:
1. Muone au mtumie email ya kumuomba msamaha. msamaha wenyewe ni
  • (1) nimekosea,
  • (2) sikua na sababu ya msingi ya kufanya hivo ila ni ujinga wangu tu
  • (3) nasikitika sana I made you feel the way you feel, na
  • (4) Nitahakikisha sirudi tena.
2. Then Mpe muda. Ukimpigia sana unazidi kumuongezea hasira na anaona kama akikujibu utadhani ni sababu ya pressure. Heshimu maamuzi yake ya kutowasiliana nawe (unaweza kuweka hili ndani ya mail). Na wewe mwenyewe jipe muda wa kutafakari why you did that and what are the other ways ungeweza tumia kufikia same results.
Ikipita siku 3, or 5 or a week (mwenyewe unajua kiwango cha mawasiliano yenu) mtumie tena message ingine kuomba mkutane ili kuongea kuhusu penzi lenu. She will come I am sure, and be prepared to respect whatever she has to say.
 
Akifanya haya uliyo mshauri afu bado bidada asisamehe, basi aendelee na maisha. Umemshauri vizuri sana RR.
 
aisee hii mambo ya kutikisa kiberiti ni noma,juzi kati nilimtibua mamaa hivyo hivyo ikawa siku mbaya kinoma.mtafute face to face uombe msamaha

tuko sehemu tofaut mkuu.
 

asante mkuu,nitajitahid kufata maelekezo yako.
 
Duh, sina cha kuongeza, maana kama ni ushauri, ushapewa tena uliokwenda shule..............
 

Pole Senetor,shez so over you!Get a life young blood,if a woman ignores you that much means shez outta yo' league!Get a woman who's gon love you and treat you like you are a part of her body,LOVE FORGIVES!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…