Hataki kunisamehe.


Kazana kusoma kijana wanawake hawa wapo na utawaacha ukifika muda muafaka wa kupata wa kuishi nae.
 
inaonyesha unampenda sana eeeh!!!!!!! muombe tena msamaha kwa mara ya pili akigoma na wewe uchune kimya kam wiki hivi halafu angalia kama ana wazo na wewe au lah..?
 
Yaani sikuwa hata na mpango wa kucheka leo mwe! we si ndio ulimtumia msg muachane wewe kha!

UKOME!!!!!!!!! mmezidi kucheza na mioyo ya watu

badala ya kumshauri we wamcheka...
mwenzio anakwambia tangu asubuhi hajala...
 

Katika hizo siku 3 sijui week akipata mpenzi mwingine je huyo bi-dada?
 
Usihof we mpigie kimya kama wik hiv mwenyewe atajileta
 
mkuu inaonekana sio kutikisa kiberiti tu,
wewe na mpanz wako huyo mnayo matatizo ya msingi na naweza kusema ni ya muda mrefu ambayo hamjayapatia ufumbuzi, na si kutingisha kibiriti pekee kama unavyosema... mi nahisi hutuweki wazi sana kaka katika hili,

ingawa sina utaalamu wa saikolojia, kinachoonekana wewe sio mwaminifu kwa mwenzio na inaonekana amekuvumilia mda mrefu sana bila ya wewe kubadilika, na katika kukuvumilia huko mmekuwa na magomvi ya mara kwa mara.... kitu ambacho hukuwa unajua ni kuwa kila ugomvi mpya baina yako na mwenzio ulikuwa unapunguza taratibu mshahawa wa mapenzi yake kwako. Imefika mahali ambapo hana hisia kabisa moyoni mwake juu yako!!
na hivyo alikuwa anatafuta sababu tu ili muachane... naam kaipata na sasa mmeachana....

kama natabiri sahihi...please usimrudie, badilika 4 real na tafuta msichana mwingine and move on!! huyo atakusumbua tu kaka maana madonda uliyompa hayatapona haraka.... na pls badilika kwa kuwa usipobadilika hii chain ya maisha ya sasa itaendelea!!
 

dah!!nimekuelewa mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…