Jamani, nina masikitiko m akubwa sana ndani ya moyo wangu.
Huu sasa ni zaidi ya mwezi wa nne, mama watoto amekuwa akinipa kwa masharti magumu sana kile chakula cha usiku.
Kisingizio chake kikubwa eti anaangalia tamthilia za STV1 za kwenye king'amuzi cha Star Times.
nimejaribu kumuelewesha, alicho nijibu nimekoma mwenyewe, eti mi ni mroho sana wa k.
Nifanyeje? Naombeni ushauri wenu , naamini nyie ni kisima cha busara.
wazazi walikuwa na akili sana, ndio maana walikuwa wakipendeza kuoa nyumbani, bila shaka kaka yetu huyo mkeo mlikutana naye kwenye daladala, sasa kaanza kufichua makucha yake taratibu
sometimes hiyo hutokea, mmoja wa wenzi anakosa hamu na mwenzie.... Hebu chunguza nini tatizo? Je uchovu na anatumia tamthilia kama kisingizio?
Je umepunguza manjonjo? Isije kuwa mwenzio kachoshwa na midundo ile ile tu?
Zungumza nae kwa upendo, mueleze madhara ya kukunyima, atakusikiliza tu....
my wife wa kufa na kuzikana my dear wife kipenzi kuja pande hizi bana
Hapo nilikumiss nikaona nitikise kibiriti kidogo
Njoo my wife wangu Yummy nakulove sana aise achana na Kongosho bana