HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

Inaelekea uko boring sana! Unashindwa kumfanyia timing kabla na baada ya tamthilia? Wewe ukiangaliaga mpira ukiitiwa soul food si utamuanzishia thread? Toka hapa!
 
King'asti ndo hapo ninaposhidwa kupata connection
Inaelekea jamaa hana jipya wife anaona bora aangalie zake tamthilia
Mkuu chacharika wife awe na hamu na wewe akikuona
Ukiwa kazini utumiwe ujumbe wa unarudi muda gani home kwani wife amekumiss
Sio unaachwa kitandani wife kakaa sebuleni anaangalia tamthilia
Noma sana hiyo
 
Last edited by a moderator:
kwenye ndoa kuna mambo magumu ngoja niendelee kupiga jaramba kwanza
 
pole,anza kujifunza mbinu mpya,angalia porn jinsi ya kwenda rough lol na kuongea dirty language,simply amekuchoka na kutokosa ubunifu wako,lol inawezekana unaenda moja kwa moja kny sex hivyo kumfanya ajifeel ni sex machine sie wanawake ni watu wa hisia jifanye unamhurumia kwa kazi anazofanya nyumbani kwa kumsaidia hata kusafisha kijiko,ukitoka muage kwa mabusu moto moto,kama unaendesha siku moja sio mbaya kumpitia kazini...ilimradi afeel unamjali na sio uko after sex only,ukicheza na hisia zetu vizuri mbona uroda tunatoa hado tigo....:eek2::eek2::A S-baby::israel:
 
Ooh!!mwenzetu ugua pole!!mpe muda bila kumgusa hata kuzungumzia jambo lenyewe!na uwatunze wanao kama kawaida!mama akiuliza kwani umebadilika mwambie la hasha!!mwisho atatubu mwenyewe!
 
Jestine nimekupa like ila hapo mwisho kidogo niiondoe aise
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo kwenye ukweli wa msemo huu mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.

na mwanaume asiyejua kucheza na hisia zetu wanawake,ndoa lazima aisikie kwa majirani.
 
Kama kuna housegirl hanza kumgusa housegirl ili kuvunja mzizi wa fitina.

Jamani BADILI TABIA umejificha wapi?
 
huyo amekwisha pata ki serenget boy, bila shaka alikuona wewe spidi yako ni ya bata kitandani, akaamua achukue mwenye spidi ya mwewe

Duh, sasa hapa mkuu unamshauri au unazidi kuupalanganyua mtima wake!
 
Ukweli?kidogo nakuunga mkono! kidogo napotea,kwani huyo si hapati mapenzi! Hataki kuguzwa!!yaani kuna kazi ya ziada imefanyika huko shambani,wajua tena palikuwa na manyunyu!pameteleza kweli kweli!hivyo ndugu jaribu kufikiria mambo mengine ujenzi,biashara,watoto wako!mwisho atakubembelezea kwani yule mchafuzi ni wa muda!atamwacha!wanaume tu kupenda kuonja!
 
na kweli akitoka kazini akishakula aoge na kupiga mswaki ajipulizie na pafyumu hahahahahah:redface::redface:

akiyazingatia hayo mwanamke ataanza kumgusa...teh teh teh.
 
Hasha!wote msiwe wapumbavu!watoto wataangamia!ni kweli mwanamke mpumbavu huifunja nyumba yake mwenyewe!methali 14, japo nakuonya bro:usitafute housgirl,wote ni visirani!mwacha kwanza na ulinde afya yako!ukimwi unaua!mpe time!
 
Fanya yafuatayo;
kuanzia leo usilipie bill ya startimes,ikishindikana uza kabisa king'amuzi utakuwa umekata mzizi wa fitina.
 
na wee angalia naye tamthilia.

you always have brain Kongosho. nashindwa kuelewa kabisa hadi upewe kwa masharti inamaana kuna mahali unaharibu wewe mwenyewe, pengine unarudi usiku, umelewa na mkeo hanywi, ukirud kashfa tu, kubembeleza hakuna, wala humjali ukija wataka uingie tu kama chooni na ukimaliza utoke. hata ingekuwa miye sikupi miaka.

kwanza nijibu huwa wewe staili yako ya kuombea ni ipi?

huwa unarudi home saa ngapi na ukiwaje?

je maisha ya mkeo nani anayeyasimamia?

unatimiza wajibu katika kumtunza mkeo?

weye siyo mtu wa hila ama ghubu?

ukishajibu haya nitakupa mbinu
 
Last edited by a moderator:
na mwanaume asiyejua kucheza na hisia zetu wanawake,ndoa lazima aisikie kwa majirani.
Hapo kwenye alama nyekundu si kwa wanawake tu hata kwa wanaume na ndipo panaleta shida kwa familia ya mwenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…