HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

none of the above.muombe Mungu atakufunulia yaliyofichika
 
Hasa hapo.
 
Last edited by a moderator:
ila wewe muda wote unakuaga wapi hadi umfate muda wa tamthlia?? tena siku atakupiga kibao we subiri
 
Ukisikia mume ***** basi ndio huyu. Labda mke wako ameolewa na tamthiliya
 
Hataki nimguse, eti anaangalia mpira sijui UEFA sijui Premium!

Hahahah Kaunga bwana kwani akiwa anaangalia UEFA sijui EUROCUP kwani zana zinakuwa ndani ya TV? We endelea tu uone kama ataweza kuresisti!

Na akibania mwambia ...............Am not playing with your eyes we endelea kuangalia TV amah!
 
Hahahah Kaunga bwana kwani akiwa anaangalia UEFA sijui EUROCUP kwani zana zinakuwa ndani ya TV? We endelea tu uone kama ataweza kuresisti!
Na akibania mwambia .Am not playing with your eyes we endelea kuangalia TV amah!

I real like this tip; mikela umeiona hiyo, mwachie macho yake yaeendelee kuangalia tamthilia huku wewe ukiendelea, atakata mauno tu! Na my love wangu, wewe angalia tu hiyo Man U yako mradi uwe umevaa bukta inayochojoleka kiurahisi! Lol

MwanajamiiOne you are simply genious! Salute!
 
Last edited by a moderator:
[QUOTE Kaunga;4191088]I real like this tip; mikela umeiona hiyo, mwachie macho yake yaeendelee kuangalia tamthilia huku wewe ukiendelea, atakata mauno tu! Na my love wangu, wewe angalia tu hiyo Man U yako mradi uwe umevaa bukta inayochojoleka kiurahisi! Lol

MwanajamiiOne you are simply genious! Salute![/QUOTE]

Hahahaha Kaunga lol ngoja akwambie mpira anauangalia kwa macho matatu ili aelewe hahahahahhh
Chezea mipira achana na jicho hahaha
Jamani hawa wakaka mie hoi
 
Last edited by a moderator:
you have a great problem that calls for critical re-evaluation of your love life.... unamjali mkeo? unaheshimu hisia zake? unam-treat kama mwenza? unatimiza wajibu wako kitandani na nje ya kitanda?unachukua muda wako kujadiliana naye kuhusu masuala muhimu ya maisha yenu na kujitahidi kutimiza yale yaliyo ndani ya uwezo wako? programme yake ya kazi ikoje? anachoka sana? to what extent do you assist her, hata kama siyo directly?
 
Nitamwambia the best way jicho la Tatu litawork ni thru me ndani kwa ndani hadi litokezee kwenye macho yangu mawili..... MwanajamiiOne.. LOL
 
Last edited by a moderator:
Hahahah Kaunga bwana kwani akiwa anaangalia UEFA sijui EUROCUP kwani zana zinakuwa ndani ya TV? We endelea tu uone kama ataweza kuresisti!

Na akibania mwambia ...............Am not playing with your eyes we endelea kuangalia TV amah!

MJ1 macho huwa yanafumba banaa πŸ™‚ na hata kama ataweza kuyafungua basi concentration ya kuangalia nini kinachoendelea katika mechi ya kwenye TV huwa ni sifuri.
 
Hapo ndipo utamu unapokolea BAK; LOL
Unajua ushauri wa MJ1 na King'asti hapo juu unahusu sana, anatakiwa awe mbunifu kiasi kwamba mama aone tamthilia ni nini mbele ya mahunjumati ya dadii; he must be so boring that mdada anaprefer tamthilia than intimacy na mumewe!
 
Last edited by a moderator:

@Kaunga niliwahi kusoma mahali kuhusu tatizo hili ambapo wadada wengine huamua kuanzisha na wao show yao bab kubwa wakati mechi ikiendelea na mara nyingi hudai show yao hupata waangalizi wengi πŸ™‚
 
@Kaunga niliwahi kusoma mahali kuhusu tatizo hili ambapo wadada wengine huamua kuanzisha na wao show yao bab kubwa wakati mechi ikiendelea na mara nyingi hudai show yao hupata waangalizi wengi πŸ™‚

Sijui inasaidia au inadraw couple apart zaidi? Ila ingefaa sana kama interest zingematch, lkn kwa kuwa ni ngumu ni bora kucompromise na kushiriki pamoja hobbie zao zote!
 
Reactions: BAK
Sijui inasaidia au inadraw couple apart zaidi? Ila ingefaa sana kama interest zingematch, lkn kwa kuwa ni ngumu ni bora kucompromise na kushiriki pamoja hobbie zao zote!

Kwa maoni yangu huwa inasaidia, lakini njemba nyingine zikitaka kuangalia vitu vyao huwa hazitaki "varangati" la namna yoyote...kama tunaweza kuita hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…