HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

huyo amekwisha pata ki serenget boy, bila shaka alikuona wewe spidi yako ni ya bata kitandani, akaamua achukue mwenye spidi ya mwewe
Ushauri wa humu JF usipouchuja unaweza kujikuta unaacha mke. Si kila mara mke anapokuwa hajisikii kufanya ngono manake ana mtu mwingine. Kuna wakati hisia huwa zinakuwa hazipo. Hasa kama ana kitu ambacho ana interest nacho au kimemboa. Acheni kumpotosha mwenzenu.
 

Halafu yeye mwenyewe mtoa ushauri inapokuja kwenye actions hata hawezi fanya hayo anashauri....
 
Halafu yeye mwenyewe mtoa ushauri inapokuja kwenye actions hata hawezi fanya hayo anashauri....
Haha, si ndo hapo, anataka tu kuwatia pressure wenzie ilihali ikiangukia kwake kinakuwa kitu kingine kabisa.
 

jestina,hahahahah!
 

Weye Jestina weye!!! Tobaaa...taratibu banaaa :eek2:
 
Weye Jestina weye!!! Tobaaa...taratibu banaaa :eek2:


utakuwa mtu wa pwani weye,naskia wale wasisikie mtu kajamba basi washaniniii....:eek2::loco:
 
utakuwa mtu wa pwani weye,naskia wale wasisikie mtu kajamba basi washaniniii....:eek2::loco:

mie na Pwani mbali mbali kabisa..hii shughuli wala siifagilii
 
haya basi,am sorry....:eek2:

Wala huna haja ya kuomba samahani banaaa...Kwani BAK amekuwa Mungu kuzuia watu wengine kujirusha kwa raha zao?
 


mmeshakaa kwa mda gani katika uhusiano wenu? jaribu kumchunguza ama ongea nae kama kunakitu mlikorofishana aweke wazi maana sisi waschana tunatabia ya kuweka vitu rohoni na utateshwa nachompaka ujue nini tatizo umepigika vyakutosha, asisingizie startime tamthlia kuna jambo,,,,,,
 

Na wewe ukiwa unaangalia mpira nami nitafute kidumu?
 
Mkuu inaonesha fitina huzijui kabisa yani...fanyia zengwe king'amuzi ukiharibu kabisa yani halafu umuambie, 'usijali lets make our own tamthiliya'.
Ukiendekeza tamthiliya nyumbani kwenu kila kitu kitakuwa tamthiliya...shauri yako!
 
usiwe unavizia muda tamthilia.... vizia muda tofauti, uone atatoa sababu gani... asikunyime haki yako ya kikatiba
 
nyie ndio wale wale koroga utoe labda unabore lazima atafute sababu.
 
Hawa TCRA nao cjui kwann waliisajili hiyo Startimes, hayo ndio madhara yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…