Unataka nn kwenye simu yake? Yako huwa unamwachia acheki? Fanya yako mambo yaende ukichunguza sana Bata haliki.
Jamani siku zote mie nawaambia kuwa simu ya mkononi ni yako peke yako
Unatafuta nini kwenye simu mwenzio???? Kama si ugonjwa wa moyo??
Re: Hataki nitazame simu yake
Msalimie sana na mtakie maisha mema yeye na simu yake...Hapo wewe ni kondakta tuu..basi lina mwenyewe kaka.
Ogopa hiyo ni kama
Hizo ni ishara kuwa miaka mi4 imefika mwisho.... siku zote mwizi huwa mwoga sana kuibiwa!!!:laugh:Kuna msichana nipo nae kwa uhusiano for about 4 years now, mi nafanya kazi flani hapa Dar na yeye yupo chuo flani Dodoma. Tulianza uhusiaano 2007 ye alikuwa Form 4 na mi nilikuwa Chuo. Ila shida napata naye siku zote ni kuwa yeye hupenda sana kuchunguza simu yangu ataanza maswali kuhusu contacts zote za majina ya kike asoyajua, message zote ila yeye ananikatalia yake. Alivyoona namsumbua kaamua kuweka SECURITY CODE. Kuna nini hapo?
Ndo hapoo, ukitaka usizeeke haraka kaa mbali na sim ya mwenzio.