acha kuchunguza simu ya mwenzako, nadhani ulichokuwa unakitafuta umekipata uchunguzi na wivu wako umeishia kuwekewa password sasa roho inakuuma unaona unaibiwa. Achana na simu za wanawake na pia mwambie mwenzako akae na simu yake aachane na yako. Kila siku simu zinaharibu mahusiano na nyie ni victims wa hali hiyo.
Halafu mmekaa ktk mahusiano miaka minne na mtu bila ya kuanza kufanya taratibu za uchumba na kuoa? Ndio maana msichana amekuona huna maana zaidi ya kuona unampotezea muda na kwa taarifa yako wenzio wanakuchapia ndio maana umewekewa password ili usione kinachoendelea na umetafuta mwenyewe kuyajua na sasa yamekuzidia unakuja huku tukushauri.
Kingine mwanaume unatakiwa kuwa na msimamo na pia kama unahisi kuna tatizo wasiliana na mwenzio na umuulize kwa nn anaweka password kwenye simu yake, nadhani kama anakupenda na kukujali ataitoa hiyo password ila ukiona haijatolewa ujuwe hakupendi na hakuthamini
mwisho videmu vya cbe dodoma ni vicheche mno kama ndio yuko hapo kapime ngoma haraka kisha piga chini