Hataki nitazame simu yake

umenikumbusha kuna mdada alienda kwa mpnz wake kufika akazima simu, baada ya muda akawa anatafuta simu ya mwenzie achunguze chunguze akakuta na yenyewe imezimwa. Ngoma droo hiyo.
hahahaaa....!!chrg imeisha si unaona mgao?msipendi mapenzi ya simu.kama kila kitu unapata unahangaika na simu ya nini?hiyo ni simu ya mkoni hata kwenda nayo bafuni ruksa.mia
 
hahahaaa....!!chrg imeisha si unaona mgao?msipendi mapenzi ya simu.kama kila kitu unapata unahangaika na simu ya nini?hiyo ni simu ya mkoni hata kwenda nayo bafuni ruksa.mia
aah! Wapi. Hao walikuwa wanaficha mambo yao.
 
Chapa lapa kabla garika halijaja. Hakuna mapenzi hapo.....ZINDUKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…