Hataki tutumie zana.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Habari za wkt huu mabibi na mabwana!!ebana,kuna shori mmoja hvi yuko mwaka wa kwanza hapa ud,nlimpgaga sound tangu last semister,akawa kaingia line bt akawa ananchomolea kunionjesha tunda,sasa juzi kati hvi natoka zangu mkoan si nikameet nae hapa chuo,nkamkumbushia lile suala langu la kumtafuna,akawa kakubali,ila alchonishangaza,akaniambia kama nataka kumtafuna bac nisitumie zana{condom} na sababu aliyoniambia tu ni kwamba hapendi kutumia hzo mambo..sa mie nkajzngusha wee,thn nkampotezea,lakn yeye bado ananikumbushia na leo kaniuliza kama nlikua namzngua au vip?sasa wakuu wangu,huyu mmanzi,nimueleweje,au anataka kuniua mwenzenu?
 
maji umeyavulia nguo sharti kuyaoga. loweka kabisa. ikiwezekana anzia chumvini kwanza. siunataka staree. hujui starehe gharama? gharama mojawapo ni HIV/AIDS.
 
Hataki kukuua, ila anaweza kukuua... Namaanisha kwamba inawezekana hana nia mbaya, lakini pamoja na kutokuwa na nia mbaya pengine ameathirika na hajijui. Stori vijiweni zinaonyesha kuwa majority ya wanawake wanaofanya ngono kwa leisure (sio kibiashara), hawapendi mwanaume atumie condom, hata kama hawajui health status ya mwanaume huyo. Yaani mwanamke anapoamua kustarehe na mwanaume, anajilipua kweli kweli...
Nadhani wanaume wengi humu tulishakutana na hali hiyo. Ila kama uliweza kutongoza hadi akakubali kukuvulia, sidhani kama utashindwa kumuimbisha hadi akubali uvae kinga...
 
Lini pipi ikaliwa na ganda lake? Pekupeku ndo mpango mzima.Wewe twanga tu hivyohivyo.
 

Angalia lakini asije kua mtoto wa mama salma!!!!
 
Take care usije angukia pua, achana nae.
 
Kweli boom limekupa jeuri...hv kwani ni lazima kutembea nae?
 
Naona umerelax na ka boom na kusahau ua fate! Vp ARIS haijatema results chali angu? Anyway mie ctumiagi hayo mavitu bt ckushauri uplay dry!!
 
naiman ww c wa kwanza kwake..jiulize km hapendi je?wangap wamepita kwake....hao waliopta je?ni wazma wote?....na kwa stail hiyo nae mzm?anaifikiria afya yake...ni hayo tu....chunga tamaa mbaya!
 
tafuna ufe ameshajua huyo anayo ndio mana anaamua kukupa tena bila zana
 
Utumbo!
 
Reactions: Sal
Hiyo rahisi sana mbona, ye si kakupa condition, na wewe mpe condition mwambie mkapime. Sikuiz majibu yanatoka fasta tena siku hiyo hiyo usiku wake mnabanjuka. Kasheshe kama na wewe unaogopa vipimo....mweeeeeh
 
kaka wahenga walisema ''Inzi kufia kidondani ni halali yake'' umetaka umepata kutafuna unakimbia nn???? Ila kiukweli mwambie mkapime kwanza asikuamini wala usimwamini mkijikuta mko poa chapa mpaka aombe pooo
 
Usimuache mbonyeze huyo...mwambie hamna shida..ukifika pale mwandae kama kawa akishadata zima taa(hakikisha mechi inachezwa usiku) mtafune taratiiiiiiibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…