Hatakupenda sitamani, utamu wa mapenzi umekula kwangu mimi..nahama Dar kujikomoa

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Washkaji nikiwa niko mwaka wa tatu kama moja ya vijana wakawaida sana tuka familia za kimaskini mtegemea boom,ila kwa kua ubongo ninao sitaduu mmoja alianza kuja fata lecture alianza kunifata sit yangu class baadae akaanza kuomba aje geto ,nilimkatalia kwa kua moja mi nlijua wagumu wenzangu wangeniaona sharobaro ikawa kero nkaamua kutopokea cm yake.

Sasa aliponiweza ni pale jina langu lilipo wekwa ubaoni ambao hatujalipa 150000 ya ada ,yule dada akanilipia, kiukwel alinisaidia ila nikawa mtumwa sasa akawa ananifata kijiwe mi nashindwa hata kura viloba vyangu namuonea soo. Yalitokea mengi akafanikiwa kunihamishia geto kwake magomeni ikawa ni mitungi na mikas na shule mi nilipiga GPA 4.3 YEYE 4.0 wakati mwaka wa kwanza na wapili hajawah kuvuka 3.0.

Me i neva knew wat z luv hivo nilichanganywa kikwell later, tulipo graduu akapata ujauzito cku moja akanitoa laki2 kuntaka nkawachek wazee nyororo kjj Iringa. Nikiwa njiani nikapokea ujumbe akinishukuru kumwonyesha mwanga wa maisha na kunieleza ile mimba si yangu na anaolewa soon, nililia kama mtoto ,washkaj nao wamenitenga wananita snich ......crudi dar tena ahhh
 
Ulimbukeni wako uliponzwa na lakini na nusu sasa umetoswa, jipange upya tena.
 
wewe nenda zako huko kijiji,mbona unaonekana bado kijana _maake kama ndio kwanza umemaliza chuo,....bado unayo nafasi ya kuwa na another mpnz,...pambana,..halafu shukuru hata alikulipia hiyo ada na ukamaliza chuo salama,inawezekana kabisa huyo mwenye mimba ndio aliyekua anattoa hizo hela,....
 
shukuru mungu umegraduate aache kulea mtoto aje akulee dume zima?
 
Ulimbukeni wako uliponzwa na lakini na nusu sasa umetoswa, jipange upya tena.

Halafu so far sijaona kosa la huyo dada,....kama mimba sio yako na kakuambia mapema kwamba sio yako sijaona kinacho kuchanganya hapo,...labda akili yako ilishaanza kulala na kuona una haki ya kutunzwa hapo mjini bila kutoa majasho,....pamba mkuu_uanaume si lelemama
 

Sijaona kinachokuliza hapo maana kwanza umeokoka kuja kulea mtoto ambaye sio wako hapo baadae. pili sidhani hata mapenzi yenu yalikuwa yashafikia kiasi cha wewe kuumia. tatu we mwanaume pambana acha kulilia kulelewa kama mtoto pambana na wala sioni kisa cha wewe ksuema kuwa hutarudi dar eti umeumizwa. Nne shukuru ni mimba tuu angekuambia kuwa na ngoma amekuachia ungelia na nani. tano wewe bado kijana tena ndo umemaliz achuo tafuta maisha na bado wasichana wa kukupenda wako wengi
 
hongera kwa kula hela za mwanaume mwenzio.....
sijaona sababu ya kuhama mji, maana kilichokusukuma kuwa na huyo dada ni pesa zake alizokuwa anakupa....
nawe ukazipokea bila kujihoji au kujiuliza mara mbili...
pili ukihama mji haumkomoi huyo dada yeye ana maisha yake yanaendelea..
mie nilidhani ndo ungepata uchungu wa maisha ukatafuta kazi/biashara ujikwamue uzisake hela kumbe wapiiiiii...

anyway all the best huko kijijini uendako, bora umwambie huyo dada akuongezee "mpunga" ukalime kwa kutumia trekta badala ya jembe la mkono......
 
shukuru mungu mwanamke wa dizaini hiyo kakutoka ktk maisha yako sasa utakuwa huru. POle sana najua inauma sana lkn tambua kwamba ktk mapenzi PAIN IS WEAKNESS LEAVING YOUR BODY!! huyo mwanamke angekutesa sana, na kila step unayopitia ktk maisha ni shule kwako. jipange upyaa utapata tu mwenye mapenzi ya keli huyu alikununua na kukutumia tu!
 
kudadeki mmenifariji uspime ,mi kidume naenda gonga kilimo kwanza ,JF Oyeeee
 
kudadeki mmenifariji uspime ,mi kidume naenda gonga kilimo kwanza ,JF Oyeeee

Fanya kazi mwanaume na acha kuona kwamba kulelewa ni deal. We ni mwanaume na kwa umri wako still ni mdogo pambana utampata wako wa maisha na sio huyo ambaye tayari ashakupa black and white
 
Mie naona ushukuru Mungu na uiangalie hii kitu kama vile ilikuwa bahati yako umemaliza masomo bila kupata headache ya kufikiria pesa za shule utatoa wapi.

Yeye alikuchukua umsaidie afaulu masomo, na wewe umemaliza kwa raha masomo na umefaulu.

Mshukuru Mungu kuwa u salama. Ningekushauri uende kupima vvu then anza maisha yako apply kazi etc

Kama alikutemndea chochote kibaya amekuumiza roho hadi umelia usijali Mungu atajibu hayo. Pole sana I hope ulikuwa umechukua vitu vyako maana ulikuwa njiani kwenda likizo na kutegemea kurudi mnakoishi wote.

Maliza likizo rudi mjini au kama hauna pa kukaa anza kuangalia nini utafanya na una mtandao huko ulipo

Pole sana usijali marafiki watasema nini or watakucheka hii ni majaribu ya maisha na utaona sio wewe tu kwenye boti hiyo
 
to be a victim is a choice. u dont have to! tafuta ustaarabu wako banaaa!
 
Duh alikutumia kiaina ila mlitumiana au sivyo?sikiza kijana acha woga wa kishamba, kwani umeambiwa we ni wa kwanza kuachwa?Rudi mjini anza maisha achana na vya bure unajua vilikuwa vinatoka wapi wakati nyie wote ni wanafunzi?

rudi utafute kazi kwa hasira kama hauna,kaa na wazazi wako kwa muda kidogo huku ukitafakari maisha yanaendaje,kuachwa sio mwisho wa maisha,tena kwa kumkomoa usimjibu msg wala simu asijue umeamua nini <br />
<br />
 
kwakwell sis gaga im frastrated nabadili namba kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…