BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Habari ya GPA inaingia vipi kwenye hiyo hadithi yako? Vilaza mna tabu sana.Washkaji nikiwa niko mwaka wa tatu kama moja ya vijana wakawaida sana tuka familia za kimaskini mtegemea boom,ila kwa kua ubongo ninao sitaduu mmoja alianza kuja fata lecture alianza kunifata sit yangu class baadae akaanza kuomba aje geto ,nilimkatalia kwa kua moja mi nlijua wagumu wenzangu wangeniaona sharobaro ikawa kero nkaamua kutopokea cm yake.

Sasa aliponiweza ni pale jina langu lilipo wekwa ubaoni ambao hatujalipa 150000 ya ada ,yule dada akanilipia, kiukwel alinisaidia ila nikawa mtumwa sasa akawa ananifata kijiwe mi nashindwa hata kura viloba vyangu namuonea soo. Yalitokea mengi akafanikiwa kunihamishia geto kwake magomeni ikawa ni mitungi na mikas na shule mi nilipiga GPA 4.3 YEYE 4.0 wakati mwaka wa kwanza na wapili hajawah kuvuka 3.0.

Me i neva knew wat z luv hivo nilichanganywa kikwell later, tulipo graduu akapata ujauzito cku moja akanitoa laki2 kuntaka nkawachek wazee nyororo kjj Iringa. Nikiwa njiani nikapokea ujumbe akinishukuru kumwonyesha mwanga wa maisha na kunieleza ile mimba si yangu na anaolewa soon, nililia kama mtoto ,washkaj nao wamenitenga wananita snich ......crudi dar tena ahhh
Habari ya GPA inaingia vipi kwenye hiyo hadithi yako? Vilaza mna tabu sana.
sijataka hata kujiuliza ni chuo gani, kwani maelezo yake tu hayaendan na hyo 4.3 anayoisema.Nyipie kama nyanya sokoni kwanza chuo gani hicho? Jipiei zinapatikana kirahisi hivi au vyuo hivi vya kata nini?
ntalijenga taifa kwa kuhamasisha kilimo kwanzaMariooo utawajua tu,unachanganyikiwa nini sasa,mwenyewe anataka kuchukua jumla umekula pesa zake muda mrefu kaza mat..o anza maisha upya,hakuna kukaa kujijini msomi kama ww unahitajika sana kujenga taifa kwa mchango wako
asee broo nimecheka asee bro love is wicked ino ukufwa muyao se ndifwa haa ila chamoto ndikuluwona muyaoAfu kumbe Muhehe...tena wa Nyororo,jiran yako mie wa Mbalamaziwa...umetuabisha sana wahehe gulefu veve...mkwamisi wita mkimama?ino wisaka kiki?...mtoto wa kihehe unalia?kweli Vijana wa Mkwawa wameisha!
ukwel huwa annpigia cpokei sms nadelete hachelew kunialika kwa harus yule
hiyo si overall ni ya mwaka wa tatu tuu ,nia haikuwa kuji boost but kuelezea mchango wangu kwa kilaza yuleDah, mkuu pole sana, pambana ipo siku utatoka tu. lakini pale ktk GPA kutoka chini ya 3 kwa miaka miwili mpaka 4 kwa mwaka wa 3 naona naona kama haiwezekani hata kama alipata 5 zote ktk masomo yote mwaka watatu.
mi mtambo kaka uliza mzumbe pcm 2006 niliwafanya nn
busara na mapenzi ,two inversely related ,she changedWewe mhuni 2 hata maneno yako yanaonyesha hauko poa.Maneno unayotumia siyo ya mtu mwenye busara kwa hivyo binti kapata mwenye busara zaidi.Mara nyingi uwe na busara vinginevyo utawakosa wengiiii