Hatari: 50% ya miradi ya Kenya imekwama - IMF

Hatari: 50% ya miradi ya Kenya imekwama - IMF

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Wakuu,
Hivi middle income wamekwama wapi? Nchi tajiri mnatia aibu sana!

IMG_20200117_103858.jpg
 
Imf haohao wamesema Kenya inakua at the rate of 6%

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vitu viwili tofauti hivyo, uchumi wa Kenya upo mikononi mwa watu wachache sana, hiyo 50% ya miradi ni ile ya serikali, serikali ya Kenya ni masikini haina uwezo wa kutekeleza miradi kwa pesa zake, na hata wakikopa pesa yote hupotea mifukoni mwa wanasiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom