Hatari gani aliyonayo Harmonize mpaka alindwe hivi?

Mabouncer njaa kali wa elfu 10,10 hivi,tekno,whizzy na Davido,P square wana hela chafu hawana mlinzi hata mmoja popote pale
 
#umetixha mkuu
 
tabu wamepata fedha bila matarajio hivyo wanakuwa washamba katika kuzipangia matumizi.
wanajikuta kila kitu wananununa
Yaani mtu katafuta pesa kwa jasho lake alafu wakati anatumia unamuita mshamba,.Aaah mkuu mwache kijana atumie.
 
Yaani mtu katafuta pesa kwa jasho lake alafu wakati anatumia unamuita mshamba,.Aaah mkuu mwache kijana atumie.
mpaka natoa jibu hilo nimetazama mbali sana mkuu nimeshindwa tu kumwambia mjinga ambalo kiukweli ndivyo anavyostahili kuambiwa na mjinga sio tusi ila ni mtu ambaye hajaelimishwa vizuri.
hivyo kijana bado hana elimu ya kutosha juu ya fedha na ndio maana anajikuta anamatumizi yasiyostahili hivyo kupoza makali ya maneno bora tumwite mshamba kwa kuwa hajui thamani ya hiyo hela kwa miaka kumi ijayo itakuwaje? na hajachukua taadhari za kutosha iwapo soko la muziki likianguka atakuwa na fedha kiasi gani cha kuhimili kulipa short term liabilities so vyote hivi tunaangalia.
fedha ni sawa na ugonjwa, kichwa kikiuma utakunywa maji,kikizidi utakwenda duka la dawa kikiendelea utamwona daktari. ndivyo na fedha zilivyo zinahitaji wataalamu waweze kuzichunga na kukuelekeza yasije yakatokea kama ya yule aliyekuwa na hoteli ya Makondeko iliyojengwa kwa gharama kubwa lakini haikuweza kuleta return iliyotarajiwa.
 
ukiona humuelewi msanii ,hongerando ushamuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…