maadamu alisema si wote basi mimi nitaoa mwenye masters of education ila si wa sociology ambao huwa ma feminist na wanajua sana ishu za gender
Mie sina elimu ya chuo wala fomu six
lakini mme wangu hulalamika kwamba ni mbishi sana
mie ni mama wa nyumbani
sina mtu wa kunisaidia na nina watoto 3
akirudi anataka nimpokee
na kila kitu kiwe sawa hasa usiku
kanifungulia kiduka cha makorokocho mbele ya nyumbani kwetu
na muuzaji ni mie
analalamika mie mbishi sana sababu huwa nakataa kumpokea.
kuna wasomi ambao si wajeuri na kuna wasiosoma ambao ni jeuri mie sina shule na ni mjeuri,nina mpango wa kujiendeleza na shule ya jioni nahisi nikimaliza nitakuwa mjeuri zaidi,nahisi shule inaongeza ujeuri kama kachumbari kny pilau lol,
asanta kwa burudan maana alishaniboa yan na research zake za uchochoron lol....Men of quality are always not threatened by educated Women.
nyumba ndogo yangu imetiki jana na kuniondoa hofu kuwa haijalenga hizi sikukuu,
utanyooka
ha ha ha ha, hanyooki mtu
akizingua nafunga duka natimkia mto wa mbu wa wajomba hadi mwaka mpya