Mr Mikazo
JF-Expert Member
- May 26, 2016
- 1,594
- 800
Nakumbuka mtihani wa la saba unaanzaga km masikhara hivi!
19+87=
219-45=
12x34=
59÷7=
....
Afu huko mbele sasa kuanzia swali la sita saba hivi, utajutaa:
Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda Chato. VX linatoka Chato saa nne kwenda Dar.
Ikiwa spidi ya ndege ni 350km/saa na ya VX ni km220/Saa, na umbali wa Chato-Dar ni KM 900, zitakutana sangapi?
Sa mi ntajuaje![emoji125][emoji125]
Na hizi tochi zote?!?